'The IPU Governing Council elects the IPU President for a term of three years. He or she must be a sitting Member of Parliament throughout the term of the presidency'
Leo Tulia Ackson...
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.
Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla...
Ndugu zangu watanzania,
Haijapata kutokea ,haijapata kuonekana kwa mapokezi makubwa aliyoyapata mh Dkt Tulia Acksoni Mwansasu mbunge wa Mbeya mjini,speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge...
Harufu ya "Mashaka" ni Kali, kuliko harufu ya "Ukweli!"
Hoja kwamba Bilioni 8 za miaka ile na Bilioni 7.5 za sasa, thamani ni tofauti sana, sio kweli.
Chukua exchange rate ya wakati ule na...
Tundu Lissu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa...
Naomba niwapa darasa kidogo waumini wenzangu wanaisiasa.
Hatujakatazwa kushiriki ktk siasa wala kuwatumikia wananchi kwa njia ya kisiasa.
Siasa ni moja ya kazi binaadam inampatia rizik zake.
1...
Vita ya kuteuliwa kuwa Waziri mkuu ni kubwa muno hivi sasa ndani ya CCM kuelekea 2025, mara baada ya kuwekwa wazi kwamba Rais Samia atagombea tena kiti cha urais 2025 ili kukamilisha hawamu yake...
Ģ moningiiii
"Watanzania kila mtu anakwambia ukingiia kwenye system tu bhas muhimu kuingia" kila Mtanzania hasa maskini ndoto zao ni kufanya kazi serikalini si kwasababu ya ubora wa mwajili tu...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mbona upo kimya sana kuhusu hili sakata la Naibu waziri wa katiba na sheria Pauline Gekul?
Dorothy Gwajima hujawahi kukaa kimya...
Katika dhambi iliyowahi kufanyika nchi hii ni kumteua Makamba na Maharage TANESCO
KWANZA NAANDIKA HUU UZI NIWEKE WAZI SINA CHUKI NA MAKAMBA WALA MAHARAGE ILA NITASEMA UKWELI TU BILA KUMUNG'UNYA...
Kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Maadili ya viongozi wa Umma Sura. No.398( R.E 2020) kifungu cha 25(1) kinachotoa fursa kwa mtu yeyote kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya kiongozi wa Umma juu...
Ifikie wakati tuache kuona kila anachofanya Raisi ni msaada kwetu na si majukumu yake.
Hizi sifa za uongo zimekuwa nyingi mpaka kuondosha mantiki ya uhalisia wa utendaji wake.
Alichosema...
Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6, Katibu mwenezi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za...
Kuna nguvu kubwa inafanyika kuyafanya makosa ya aliyekuwa Naibu Waziri Sheria na Katiba kuwa ni udhalilishaji wakati kiukweli sivyo.
Makosa ya Gekul kisheria kwa Tanzania au nchi zingine ni...
Wengi wamekariri kuwa CCM hii ndio ile ile ya Baba wa Taifa Mwenyeheri Julius Nyerere, nawapa pole sana.
CCM ya sasa haina tofauti na Chadema, NCCR Mageuzi au ACT Wazalendo zaidi ya ile Dola...
Nianze kwa tafakuri Jadidi,je falsafa ya kujivua gamba maana yake ni kujiondoa mwenyewe au kuondolewa? turejee dhana ya CCM kujivua gamba iliyoasisiwa na ndugu Wilson Mukama,dhana hii ilikuwa na...
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umetangaza kusikitishwa taarifa za tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini, Mhe Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili kijana Hashimu Ally huko Babati Mjini...