Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,333
- 24,218
Kwanza kama mwana CCM, kada, nampongeza sana Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kwa kupewa wadhifa wa juu, Bunge la MabunGe, IPU.
Huo ni wadhifa umeleta sifa si kwa Tanzania tu, bali Afrika kwa ujumla.
Tukirudi bongo, hasa kule kwa wasokile, wasafwa, wanyiha, wapangwa na wakinga, kwenu huo ni mtaji mkubwa.
Tulia aombe kitu gani kwa mama Samia halafu Samia amkatalie?
Dkt. Tulia mtaji wa maendeleo.
Lakini Mbeya kuna mijitu ya ajabu.
Kikwete aliwahi sikika akilalamika, eti Halmashsuri na Mkoa hawana eti sehemu ya kujenga Chuo Kikuu cha DSM, tawi la Mbeya!
Tukumbuke Chuo Kikuu cha Mandela kilikuwa kijengwe Mbeya, mji alimoingilia mpigania uhuru Mandela.
Kwa kukosa ushirikiano wenu kikajengwa Arusha.
Mbeya msiwe low achievers!