Gekul amepata nafasi ya kusikilizwa?

Gekul amepata nafasi ya kusikilizwa?

Zile tuhuma ni nzito mnoo, Natamani uchunguzi wa wazi ufanyike ili kuthibitisha hayo madai. Nina uhakika ni tuhuma za uwongo ama zimekolezwa chumvi. Yeyote anaweza kurekodi ile clip na kumchafua mtu yeyote.
DC Simalenga ilikuwaga hivi hivi kwamba kamcharaza bint makonde na mateke 😂
 
Sheria ni msumeno

Tusimuhukumu Gekui tusubiri maamuzi ya DPP au Mahakama

Ahsanteni sana

Nawatakia Dominica Njema 😄
Hii habari inaonekana ya kutengeneza na inawezekana Gekul haungi mkono kundi fulani ndani ya CCM, so walimpandisha ili waje kumshusha kwa aibu ili jimbo sasa lirudi CCM. Maana hayo yanayosema siyo rahisi kutendwa na mwanamke kama Gekul.
 
kuna watu wana kiburi cha madaraka, kwa zile tuhuma ni kweli maana dogo kataja hadi maafande waliomchukua kumuhoji

nafikiri wote walio tajwa waitwe na waulizwe, polisi wafatiliwe je kweli walimshikilia dogo

kadri wanavyo chelewa ndio wana achia mwanya wa watuhumiwa kujipanga

zaidi polisi hawajui kazi yao wana suburi waagizwe na raisi ama mkubwa yoyote ndio waanze uchunguzi
 
Back
Top Bottom