Twaha Mwaipaya: BAKWATA imewekwa mfukoni na Serikali

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,431
Screenshot_2023-11-27-02-16-55-1.png

Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6, Katibu mwenezi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif, ameilaumu BAKWATA kwa kuwekwa mfukoni na serikali kiasi cha kushindwa kuikosoa serikali hata kwenye makosa ya wazi kabisa.

Twaha ambaye kwa dini ni Muislam, amemsifu shehe Issa Ponda kwa ujasiri wa kukosoa bila woga huku akiwasifu TEC Kwa waraka za mara kwa mara bila uoga pale serikali inapoboronga.

=====
Swali langu: Je, ni kweli Bakwata ilianzishwa na Mwl Nyerere kwa kushirikiana na Paulo Bomani?
 
Bakwata ni sawa na UVCCM, ie ni umoja wa CCM Islam, kama ilivyo umoja wa CCM wanawake, Wazazi etc. CCM wamekwenda zaidi wameweka na umoja wa CCM- Uislamu. Wameshindwa tu kuwa na umoja wa CCM Ukristo
 
Bakwata imejaa, mashushushu kibao, hata, Shekhar yahaya alikuwa informer/spy wa intelijensia, wapo pale kuhakikisha umma, wa ki Islam unabaki kuwa moderate and several haubsdiriki na, kuwa radical ,
Mwenye kuweza, atafute kitabu cha Rudovic Mwijage, mkimbizi wa kisiasa, aliukimbia utawala wa nyerere,
 
View attachment 2826262

Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6 , Katibu mwenezi wa Bavicha , Twaha Mwaipaya , akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za Zanzibar , Maalim Seif , ameilaumu BAKWATA kwa kuwekwa mfukoni na serikali kiasi cha kushindwa kuikosoa serikali hata kwenye makosa ya wazi kabisa .

Twaha ambaye kwa dini ni Muislam , amemsifu shehe Issa Ponda kwa ujasiri wa kukosoa bila woga huku akiwasifu TEC Kwa waraka za mara kwa mara bila uoga pale serikali inapoboronga .
.
=====
Swali langu ,: Je ni kweli Bakwata ilianzishwa na Mwl Nyerere kwa kushirikiana na Paulo Bomani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nilijua BAKWATA imelipuliwa na bomu nilivyosoma title
 
Bakwata imejaa, mashushushu kibao, hata, Shekhar yahaya alikuwa informer/spy wa intelijensia, wapo pale kuhakikisha umma, wa ki Islam unabaki kuwa moderate and several haubsdiriki na, kuwa radical ,
Mwenye kuweza, atafute kitabu cha Rudovic Mwijage, mkimbizi wa kisiasa, aliukimbia utawala wa nyerere,

Umenea vyema,vinginevyo hii nchi magaidi yangetusumbua sana.
 
Bakwata imejaa, mashushushu kibao, hata, Shekhar yahaya alikuwa informer/spy wa intelijensia, wapo pale kuhakikisha umma, wa ki Islam unabaki kuwa moderate and several haubsdiriki na, kuwa radical ,
Mwenye kuweza, atafute kitabu cha Rudovic Mwijage, mkimbizi wa kisiasa, aliukimbia utawala wa nyerere,
Duuuh !
 
View attachment 2826262

Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6, Katibu mwenezi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif, ameilaumu BAKWATA kwa kuwekwa mfukoni na serikali kiasi cha kushindwa kuikosoa serikali hata kwenye makosa ya wazi kabisa.

Twaha ambaye kwa dini ni Muislam, amemsifu shehe Issa Ponda kwa ujasiri wa kukosoa bila woga huku akiwasifu TEC Kwa waraka za mara kwa mara bila uoga pale serikali inapoboronga.

=====
Swali langu: Je, ni kweli Bakwata ilianzishwa na Mwl Nyerere kwa kushirikiana na Paulo Bomani?
Bakwata ni taasisi ya dini, taasisi za dini ziachane na nyege za kisiasa
 
View attachment 2826262

Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6, Katibu mwenezi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif, ameilaumu BAKWATA kwa kuwekwa mfukoni na serikali kiasi cha kushindwa kuikosoa serikali hata kwenye makosa ya wazi kabisa.

Twaha ambaye kwa dini ni Muislam, amemsifu shehe Issa Ponda kwa ujasiri wa kukosoa bila woga huku akiwasifu TEC Kwa waraka za mara kwa mara bila uoga pale serikali inapoboronga.

=====
Swali langu: Je, ni kweli Bakwata ilianzishwa na Mwl Nyerere kwa kushirikiana na Paulo Bomani?
kujilipua kwingine kuna madhara ya daima kisiasa. kuwalazimisha wengine kuamini au kufanya kama wewe si haki.

Yeye anajua anaikashifu na kuikosoa bakwata, kumbe anajaribu kuupasua uisilamu bila kujua na kupandikiza chuki kwake binafsi dhidi ya uisilamu.

It will come a time ataenda kuswali msikiti A, ataonekana shujaa, ataenda msikiti B ataonkana kafiri
 
Vipi kuhusu ukweli wa hoja yake ?
 
Back
Top Bottom