CCM ya Nyerere ilishakwenda tangu 1995; hii iliyopo ni CCM ya vyama vingi iliyojiegemeza dolani. Makundi yataimaliza CCM hii

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Wengi wamekariri kuwa CCM hii ndio ile ile ya Baba wa Taifa Mwenyeheri Julius Nyerere, nawapa pole sana.

CCM ya sasa haina tofauti na Chadema, NCCR Mageuzi au ACT Wazalendo zaidi ya ile Dola iliyoegemea.

Ndio sababu unaona Tundu Antipas Lisu ana ushawishi mkubwa kuliko Wanasiasa karibia Wote wa CCM ukiwachanganya na ACT Wazalendo.

CCM fanyeni yote lakini msisahau nje ya DOLA mko Sawa kabisa na Hivi vyama vingine na Watanzania hawa siyo Wale tuliowakariri.

Ahsanteni sana 😄
 
Ina viongozi tofauti kwasasa ila malengo na mbinu ni zile zile za kutoka enzi za Nyerere itawatawala mpaka mchoke wenyewe, "give few quality education and rule them"
Hii nchi ni kubwa sana na kila eneo limeendelea so mbinu za Nyerere hazisaidii tena

Bwashee Dunia ya Leo Elimu ipo Kiganjani siyo Darasani
 
Wakati wa Nyerere wapinga sera za ujamaa na wataka sera za ujamaa hawakuwepo?
 
Wengi wamekariri kuwa CCM hii ndio ile ile ya Baba wa Taifa Mwenyeheri Julius Nyerere, nawapa pole sana.

CCM ya sasa haina tofauti na Chadema, NCCR Mageuzi au ACT Wazalendo zaidi ya ile Dola iliyoegemea.

Ndio sababu unaona Tundu Antipas Lisu ana ushawishi mkubwa kuliko Wanasiasa karibia Wote wa CCM ukiwachanganya na ACT Wazalendo.

CCM fanyeni yote lakini msisahau nje ya DOLA mko Sawa kabisa na Hivi vyama vingine na Watanzania hawa siyo Wale tuliowakariri.

Ahsanteni sana 😄
Na imalizike to the fullest!
 
CCM ya Nyerere ilishakwenda tangu 1995,hii iliyopo ni genge la Wahuni na wapigaji.​

Back
Top Bottom