and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,227
- 39,713
Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu hapa Shirikani. Digitali kizazi sana! Tupo tayari
OkayNaona kama Posta unampoteza njia, nilisikia anakwenda shirika la simu(TTCL), au na wewe umemhamisha kwa uteuzi wako.
Shirika la Posta Tz (TPC) ni Shirika la Serikali ambalo Limekufa Kibudu kutokana na Ujima na Ukale wa Mawazo na Fikra za Watendaji wa Shirika hili.Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu hapa Shirikani. Digitali kizazi sana! Tupo tayari