Halmshauri ya Ilemela yaisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Tsh. Bilioni 10

Nyanswe Nsame

Senior Member
Jul 9, 2019
158
175
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza, John Wanga na baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wanadaiwa kukiuka taratibu za fedha, kufanya ubadhirifu na kuisababishia serikali hasara ya sh.bilioni 10.34.

Hasara hiyo ilibainika kwenye ukaguzi maalum uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuanzia mwaka 2018/2019 na 2019/2020, kuangalia utaratibu wa ukusanyaji wa mapato ya ndani, utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ukaguzi wa madeni ya halmashauri hiyo.

Ukaguzi huo uliofanyika mwaka jana hoja mbalimbali ziliibuliwa na CAG ambapo alipendekeza na kuelekeza watumishi waliohusika na kusababisha hoja hizo wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma.

Kutokana na kadhia hiyo juzi (Januari 16,2023), Baraza la Madiwani la Manispaa ya Ilemela likitanguliwa na Kamati ya Fedha na Uongozi lilikutana kujadili mapendekezo na hatua za kuwachukulia watumishi hao waliosababisha hoja kwenye ukaguzi huo maalum kwa makosa waliyotenda.

Hata hivyo, baraza hilo halikufanyika baada ya kujigeuza kamati ya fedha ambapo lilielezwa kuwa watumishi hao wanarudishwa kwenye menejimenti kujitetea kisha warejeshwe tena kwenye baraza hilo kwa uamuzi.

Uchunguzi wa gazeti hili kwa mujibu wa CAG, aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilemela (sasa Mkurugenzi wa Geita Vijijini), John Wanga akiwa mtendaji mkuu na watumishi baadhi walishindwa kusimamia mfumo wa ukusanyaji mapato(LGRCIS) kwa ufanisi na kuisababishia serikali hasara ya Tsh. bilioni 10.34 kwa ubadhirifu na kutofuata taratibu za fedha.

Wanga pia alishindwa kusimamia matumizi ya fedha za ujenzi wa jengo la utawala la Manispaa ya Ilemela na kusababisha hasara ya Th. 138,761,250 huku Mkadiriaji Majenzi, Isack Bahati Mauki, akifanya malipo mara mbili ya ununuzi wa nondo, kutomsimamia mkandarasi wa mradi huo(Wakala wa Majengo Tanzania-TBA) kutimiza wajibu wake kwa fedha aliyokuwa amelipwa.

Aidha watumishi 11 wa halmashauri hiyo wakiwemo waliohamishwa Alade Maluli (amehamishiwa Musoma DC), Hamis Nanai (amehamishiwa Wizara ya Mifugo) na Patricia Mlowa (amehamishiwa Jiji la Mwanza) wanadaiwa kuchezea mfumo wa mapato ya halmashauri na kufanya marekebisho ya miamala ya sh. 8,724,331,077 bila kufuata taratibu.

Wengine ni Mhasibu wa Mapato wa Manispaa hiyo, Jacquiline Martine, Thomas Clemence na Msafiri Kulwa (wahasibu), Bertha George, Stanley Mwami na Hashimu Kimwaga (wote maofisa biashara).

Afisa TEHAMA wa Manispaa ya Ilemela Hezron Zakaria na Mhasibu wa Mapato, Andrew Ndaba aliyehamia Halmashauri ya Mji wa Tarime, hawakutekeleza wajibu wao na kusababisha taarifa za makusanyo ya fedha za mapato Tsh. 554,745,971 kufutwa kwenye mashine za POS.

Katika ripoti hiyo Ndaba pia alisababisha Tsh. 627,856,616 kutowasilishwa benki kwa mujibu wa agizo namba 37(3) la Memoranda ya Fedha za Serikali za Mitaa ya mwaka 2009.

Aidha CAG pia alibaini James Dalasia, aliyehamia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na Mhasibu wa Kituo cha Afya Buzuruga, Seleman Baruan, waliisababishia hasara serikali kwa kushindwa kuwakata Tsh. 8,737,248 za kodi ya zuio wazabuni wa ujenzi wa hospitali ya wilaya na kituo cha afya Buzuruga, kinyume na kifungu namba 83 cha sheria ya kodi ya 2008.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo watumishi 11 walikusanya Tsh. 123,759,710 na kuzitumia bila kuziwasilisha benki ambapo Winning Temu alikusanya Tsh. 99,902,397, Daniel Sagwa sh.8,803,400,Linus Oddo Ngatunga Tsh. 7,070,000, Hellen Mcharo Tsh. 5,377,000 na Aloyce Mkono Tsh. 1,180,200.

Wengine ni Alfa Benge Tsh. 964,000, Rosemary Mkasanga Tsh. 340,000, Egno Mayaka Tsh. 165,250, Maulina Kibwana Tsh. 90,100 na Victor Leonard Tsh. 66,700.

Ukaguzi huo pia ulibaini Kaimu Mhandisi wa Ujenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mhandisi Fredrick Maroba, aliruhusu malipo ya Tsh. 181,967,361 kwa mafundi wa ujenzi wa miradi iliyotekelezwa kwa kutumia wataalamu wa ndani (force account) bila vipimo vya kazi iliyofanyika.

Katika sakata hilo Mhandisi Maroba na Mophen Mwakajonga (amehamishiwa Manispaa ya Iringa) walisaini mikataba ya ujenzi wa hospitali ya wilaya ambayo haikuhakikiwa na mwanasheria wala kusainiwa na Mstahiki Meya pamoja na Mkurugenzi.

Taarifa hiyo ya CAG inadadavua kuwa Mhasibu wa Kituo cha Afya Buzuruga, Seleman Baruan na Dr. Eugen Rutaisile, walifanya manunuzi kwa fedha tasilimu Tsh. 285,347,527 kinyume na agizo namba 39(2) Memoranda la Fedha za Serikali za Mitaa la 2009, hivyo kukwepa kodi na kuisababishia serikali hasara ya Tsh. 6,268,542.

Afisa Ugavi na Manunuzi, David Masija ambaye amehamishiwa Manispaa ya Bukoba, alinunua vifaa vya hospitali ya wilaya vyenye thamani ya Tsh. 103,156,100 bila ushindani wa bei na kusababisha halmashauri kukosa vifaa vya bei nafuu na ya chini.

Pia Bodi ya Zabuni kupitia kwa katibu wake Mvano Kalumbete ambaye alihamishiwa Halmashauri ya Geita Mji,bila kuzingatia maoni ya kamati iliipatia zabuni ya kukusanya mapato ya kushusha na kupakia, kampuni ya M/S Venance Richard Bukuru, bila kuwa na cheti cha mlipa kodi (C) kinyume na kifungu cha 75 (b) cha Sheria ya Manunuzi ya Umma ya 2011.

Mkuu wa Kitengo cha Viwanda,Biashara na Uwekezaji wa Manispaa ya Ilemela,Elizaberth Swaga alisababisha hasara ya Tsh. 7,249,000 kwa kutodhibiti ubadhirifu uliofanywa na wasaidizi wake na kutosimamia kitengo hicho kwa ufanisi.

Pia Afisa Biashara, Hashim Kimwaga anahusishwa na ubadhirifu wa fedha hizo Tsh. 7,249,000 za leseni za biashara, kutoa taarifa kinzani kati ya leseni halisi na nakala inayobaki kitabuni.

Aliyekuwa Mhasibu wa Mapato, Andrew Ndaba, Mwanasheria wa Halmashauri ya Ilemela, Patrick Muhere, walishindwa kumdhibiti Alex Chacha, kukusanya mapato ilhali akidaiwa Tsh. 16,958,912, Ndaba pia, alishindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Tsh. 22,214,000 kwa wapangaji wanaodaiwa kodi ya meza, vyumba na vizimba.

Makosa mengine ni kutumia vitabu vitano vya leseni visivyotambulika kukusanya Tsh. 1,970,000 na kushindwa kuviwasilisha kwenye ukaguzi vikiwa vimetumika au la ambayo yaliwaangukia Mkuu wa Kitengo cha Viwanda, Biashara na Uwekezaji cha Manispaa ya Ilemela, Elizaberth Swaga na Afisa Biashara, Hashim Kimwaga.

Baadhi ya madiwani waliozungumza na gazeti hili kwa sharti la hifadhi ya majina yao, walisema hayo yaliyoibuliwa na CAG yanatisha yanaweza kusababisha halmashauri kuvunjwa.

“Vyombo vya habari tafadhali isaidieni halmashauri, fedha zilizochezewa ni kodi za wananchi zingeweza kusaidia kufanya maendeleo yao katika miundombinu na huduma za jamii,” alisema mmoja wa madiwani hao.

Akizungumza kwa simu jana Mstahiki Meya wa Ilemela, Renatus Mulunga alithibitisha kuwepo tuhuma hizo na kueleleza kuwa hatua zinaendelea kuchukuliwa dhidi ya watumishi hao walioguswa na hoja za CAG.

“Kwanza niwapongeze kwa kufahamu kuna tatizo kama hilo, si rahisi kusema hadi sasa hatua gani zimechukuliwa, mengine yanapitia kwenye kamati ya uongozi na fedha ambayo ni kama mwajiri wa halmashauri na hilo ulilouliza ni suala la utendaji mkurugenzi yupo, lakini ningependa kuwaongezea mengi zaidi tukiwa mezani,” alisema Mulunga.

Naye Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mhandisi Modest Apolinary, alipoulizwa alikiri kuwepo kwa hoja za ukaguzi wa CAG na mapendekezo pamoja na hatua za kuchukua dhidi ya watumishi waliobainika kusababisha hoja kwenye ukaguzi huo maalum.

“Niko Dodoma ninalishughulikia hilo ulilouliza na siwezi kukataa, lipo kwa sababu ni public report ya CAG, uchunguzi unafanyika na hivyo tunawaachia vyombo vya dola waendelee na uchunguzi wao,” alisema.
 
Hii itakuwa danganya toto..... Upatapo uongozi ukoanza fukuwa majaladaa utaishia humoo ...hutomaliza...na muda wa uongozi unaisha hujamalizaa.... Siamini ka haya yote yalikuwa hayajulikanii
 
Haiwezekani kabisa labda awamu ya tano, awamu hii ya maridhiano haiwezekani kutokea ufisadi"alisikika chawa mmoja"
 
Vichwa vya habari kama hivi ni hatari tupu. Kushtakiwa sio uthibitisho kuwa wameiba. Hii habari iondolewe au kichwa cha habari kiandikwe upya kuonyesha kuwa hawa bado ni watuhumiwa.

Amandla...
 
Kamba ilikatika, sasa iweje kosa liwe la mlaji badala ya la mfungaji!
 
Sema hiyo Title imekaa kihukumuhukumu hivi.

Kiutaratibu taarifa ya ukaguzi ni maoni 'opinion' yanayotolewa na mkaguzi kutokana na hali aliyoikuta katika kipindi cha ukaguzi. Kwa utaratibu huo huo, ndiyo maana Taasisi inayokaguliwa inapewa wasaa wa kujibu hoja au kuwasilisha nyaraka za uthibitisho wa kasoro ambazo zilibainishwa au viambatisho ambavyo havikukutwa siku ya ukaguzi.
 
Bilioni 10 iibiwe kiholela hivyo?
 
Mama Anatakiwa Awafute Kazi Haraka
Hizo ni siasa tu hakuna kitu hapo ni longo longo za siku zote kesho tu utasikia watakatwa mshahara wa miezi mitatu hiyo ni chain kubwa hata hao madiwani wamezilamba tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom