Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Tanzania Kupitia Shirika la reli TRC inatafuta pesa zaidi ya Shilingi Trilioni 14 sawa na Dola 5.6 Bilioni za ujenzi wa reli Mpya Kwa viwango vya Sgr kutoka Bandari ya Mbamba Bay...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Hawa Ghasia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya shirika la Masoko Kariakoo . Tunampongeza mteuliwa kwa kupewa kitengo kipya . Lakini tungali bado na maswali...
19 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakati wa uchaguzi wa ndani ya CCM mwaka 2022 Chama kilionelea kuwa wenezi wa mikoa wateuliwa badala ya kuchaguliwa. Na ilipofika tarehe 17 march mwaka huu walioomba nafasi hizo waliitwa kwenye...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukahaba mkoani Dar es Salaam na nchi hii kwa ujumla unafanyika kila mahali, sio katika madanguro ya Mwananyamala tu. Ukahaba unafanyika katika Lodges, Hoteli kubwa, maofisini kwa watu, katika...
8 Reactions
87 Replies
20K Views
Henry Kissinger, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kaja Tanzania kupatana na Rais Nyerere kuhusu jambo. Alikutana na mabango mengi. Leo hii leo hii leo hii mzungu kutoka Marekani mwenye cheo hiki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
CCM ni tasisi na kila tasisi ina mfumo wa ukuaji wa wafanyakazi wake kivyeo. Ila CCM kuna maeneo inafikirisha. Nimefuatilia kwa muda teuzi za nafasi mbalimbali ndani ya CCM haswa ya Katibu Mkuu...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa kawaida Serikali huwa imejipanga vizuri sana inapokuwa imetoa kibali cha ajira kwenye utumishi wa umma kuhusu haki na stahiki za waajiliwa wapya. Lakini huwa kuna tatizo kubwa kwa watendaji...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere Kipindi...
7 Reactions
99 Replies
5K Views
Inaelekea miaka 3 sasa tangu waliokataliwa na shujaa hayati Magufuli kurudishwa tena serikalini kwa kubebwa na Rais Samia lakini wameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi na sasa wako hoi kisiasa...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapo vipi! Ninachoamini waziri wa michezo anauwezo wa kuingiliia jambo ambalo halipo vizuri na linaonekana kuvuruga au kuharibu vilabu zetu kubwa hususani Club ya Simba na Yanga. Tukumbuke...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Katibu wa Bunge Ndg. Nenelwa Mwihambi (ndc) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Utangazaji - TBC Ndg. Stephene Kagaigai na Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayub Rioba...
0 Reactions
7 Replies
869 Views
Chama cha Mapinduzi kimefanya Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kilijadili hali ya Kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama Aidha, kimefanya...
6 Reactions
34 Replies
7K Views
Ujio wako mkoa wa Kilimanjaro fedha zinaombwa kila mahali, na huna Habari fedha zinakusanywa tena Kwa fedhea kubwa. Ulipanga safari bila kuwa na Bajeti ya safari zako mkoani Kilimanjaro? Kama...
2 Reactions
3 Replies
834 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
29/11/2023 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Dkt. Abdul Aziz M. Abood ameendelea na ziara yake ya kikazi kwenye Kata ya KINGO, MAFIGA, MWEMBESONGO, MJI MPYA NA MAFISA. Huu ni mwendeleze wa ziara...
2 Reactions
5 Replies
910 Views
Barua inayodaiwa kuandikwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuhusu kujiuzulu wadhifa huo, ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu (CC) ya...
5 Reactions
36 Replies
7K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema Kazi ya Serikali si kugawa Fedha bali ni kutengeneza mazingira ya kupata Fedha na ili kupata Fedha inaamanisha...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
KWENYE SIASA HAKUNA KUWA KATIKATI"NEUTRAL" MTAWALA LAZIMA AAMUE KUSUKA AU KUNYOA. VINGINEVYO ANGUKO NI HAKIKA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Siasa inakanuni zake, na moja ya kanuni hizo ni...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Tutakuwa manyumbu mpaka lini? Unaenda kupata huduma unaambiwa hakuna umeme. Mwezi mamiezi yamepita. Rais hana chochote anachofanya kutatua tatizo. Hotuba zake hazina mikakati yeyote ya maana zaidi...
28 Reactions
97 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…