Watakaobainika kuhusika na sakata la Katibu Mkuu kudhalilishwa utu wake waanikwe hadharani

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,033
Hakika inasikitisha na kushangaza sana hii ROHO ya KISHETANI ya baadhi ya Wanaccm wenye UCHU wa Madaraka kuandaa mpango haramu wa Kumdhalilisha KADA KIONGOZI na Mwanachama mwenzao Chongolo.

Nakipongeza Chama kuamua Kuunda Kamati ya UCHUNGUZI ili kuwabaini wote Waliohusika na UJINGA na UPUMBAVU huo.

USHAURI kwa KAMATI: Chunguzeni kwa kina bila kumwogopa mtu ili haki itendeke Wahusika Watajwe hadharani na hatua kali za kisheria na kijinai zichukuliwe ili iwe fundisho kwa wote Wanaotumia Uhuru wa Mitandao kudhalilisha WATU kwa nia Ovu ya KUPATA MADARAKA.
 
Anayefahamu namna Katibu Mkuu alivyodhalilishwa kiasi cha kufikia hatua ya kujiondoa kwenye wadhifa wake, animegee ubuyu tafwadhali.
 
Kazi mojawapo ya siasa, ni kumtungia mtu uwongo pindi akikasirika, wenzake ndio kwaanza, inakuwa kete ya kupanda ngazi na kupata umarufu

Jk alizijua fix zote za wanasiasa uchwara!

Ukiwa mwanasiasa, ni kazina uwe na ngozi ngumu!

Chongolo asichokielewa ni kipi kwenye siasa mpaka kimkasirishe na kumnyima usingizi?

Mtu unaachia madaraka kwa maneno ya kwenye kanga?
 
Hakika inasikitisha na kushangaza sana hii ROHO ya KISHETANI ya baadhi ya Wanaccm wenye UCHU wa Madaraka kuandaa mpango haramu wa Kumdhalilisha KADA KIONGOZI na Mwanachama mwenzao Chongolo.

Nakipongeza Chama kuamua Kuunda Kamati ya UCHUNGUZI ili kuwabaini wote Waliohusika na UJINGA na UPUMBAVU huo.

USHAURI kwa KAMATI: Chunguzeni kwa kina bila kumwogopa mtu ili haki itendeke Wahusika Watajwe hadharani na hatua kali za kisheria na kijinai zichukuliwe ili iwe fundisho kwa wote Wanaotumia Uhuru wa Mitandao kudhalilisha WATU kwa nia Ovu ya KUPATA MADARAKA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Ni muhimu sana kila moja wetu ana make sure anawajibika to take full control and authority of own privacy.
My friend,
hii si ya kukabidhi au kumpatia muwekezaji

Kinyume na hapo huenda ni bahati mbaya, uzembe au kujamiiana na kujiamini kupita kiasi. In privacy hii ni hatari sana na si ya kujaribu hata kidogo....
 
Hakika inasikitisha na kushangaza sana hii ROHO ya KISHETANI ya baadhi ya Wanaccm wenye UCHU wa Madaraka kuandaa mpango haramu wa Kumdhalilisha KADA KIONGOZI na Mwanachama mwenzao Chongolo.

Nakipongeza Chama kuamua Kuunda Kamati ya UCHUNGUZI ili kuwabaini wote Waliohusika na UJINGA na UPUMBAVU huo.

USHAURI kwa KAMATI: Chunguzeni kwa kina bila kumwogopa mtu ili haki itendeke Wahusika Watajwe hadharani na hatua kali za kisheria na kijinai zichukuliwe ili iwe fundisho kwa wote Wanaotumia Uhuru wa Mitandao kudhalilisha WATU kwa nia Ovu ya KUPATA MADARAKA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja.
 
Chama kinajipa kazi isiyo na maana!

Cha msingi was move on na kutekeleza ilani ya JPM ya awamu ya tano!!

System IPO kazini,inachanga karata kupata kilichobora hivi!!

Watafute katibu mkuu mpya waache majungu!
 
Back
Top Bottom