Pamoja na changamoto nyingi, Tanzania, imepiga hatua katika kutoa huduma za elimu na afya. Huduma hizi zimepitia vipindi na sera tofauti. Kwa sasa elimu ya msingi hadi shule za upili inatolewa...
Rais ni madaraka ya juu kabisa kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Sheria ya Wastaafu inampa Rais unafuu mkubwa kuendelea kuhudumiwa na...
Dar es Salaam. Ikiwa ni miaka mitano imepita tangu Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu kushambuliwa, Jeshi la polisi limesema bado linaendelea kumsubiria mwanasiasa huyo na dereva wake...
Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D.
Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana.
Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo...
Wadau nawasalimu.
Nimekuwa najiuliza Uwezo wa Jeshi letu Kiintelejensia kwa matukio makubwa mawili
1. Kutekwa kwa Mfanyabiasha MO DEWJI
2. Kupigwa RISASI kwa Kiongozi wa CHADEMA Mh.TUNDU LISSU...
Wabunge kutoa taarifa ya mali Sheria ya 1995 Na.12 ib.12 70.-(1) Kila Mbunge atatakiwa kuwasilisha kwa Spika nakala mbili za taarifa rasmi ya maelezo ya mali yake na kadri itakavyokuwa, mali ya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amesema historia ya Bibi Titi wanawake na wananchi wanajifunza mengi kuhusu uzalendo kwa nchi yao, uwezo na nafasi ya mwanamke kwenye...
Habari za muda ndugu zangu.
Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya...
Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye.
Sasa...
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameielekeza Kamati inayoshughulikia Masuala ya Mashariki ya Kati ya Umoja huo kutembelea eneo hilo mapema katika juhudi za kutafuta...
Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania
I. Utangulizi
Mheshimiwa Hamad Masauni,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Tanzania,
Msako wa makahaba jijini Dar-es-Salamaa uliosababisha Mauaji ya...
Tulionya mapema sana kwamba , huu mpango wa Chadema wa kusajili watu nyumba kwa nyumba , na huku wengine wakifuatwa hadi mashambani utakuja kuleta mtikisiko , hiki ndicho kilichotokea huko...
My Take
Wanachadema mnaitwa kutoa povu huku 😁😁
==
"Uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa ni uchaguzi huru na haki kwasababu tume ya uchaguzi na sheria za uchaguzi zinarekebishwa na kutengenezwa upya...
Kama kweli Mwenyekiti wa CCM Taifa anataka kuongeza mvuto, basi aende na Humphrey Polepole.
Kiukweli Mzee wa "kataa wahuni" analog kundi kubwa sana Tena zaidi hata ya MAKONDA.
Sasa fikiria...
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Hayati Mwl Dr Baba wa Taifa Nyerere. Hapa Unguja si maarufu Sana Kama huko bara alitupora nchi yetu Zanzibar kwa mwamvuli wa Muungano ( usionufaisha Zanzibar), pia...
makosa tunayotakiwa kurekebisha Kama nchi, kwa baadhi, ni kama ifuatavyo:
1. kutokuwa na mfumo rasmi wa kiuchumi.
Katiba yetu ya mwaka 1977, ibara ya 3 (1) inaitambua Tanzania Kama nchi yenye...
Kwa sasa Tanzania Hali ya Maisha Ni mbaya na Wananchi hawana fedha. Na hivyo hawana Nguvu ya Kushiriki Kuchochea "Demand" Uhitaji wa Bidhaa na Huduma, na Kwa Hivyo "SUPPLY" ya Watoa huduma na...
Huu ndio Ukweli unaofichwa , huyu aliyepo hana uwezo wa kupambana Jukwaani (Chama chake kinajua) , hata hivyo alishawahi kukiri mwenyewe hadharani , ikaandikwa na gazeti la Chama chake , ili...
Makala haya yanahusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango alioifanya Mkoa wa Kagera. Makamu wa Rais alifungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika...