Nani kaiona chupa ikiwa kwenye makalio? Daktari kathibitisha? Wanasiasa kuweni makini na hila za mitandaoni

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji iliyopakwa tomato sauce .

Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu kujeruhiwa.

Wanawake na wanaharakati wakapaza sauti za kulaani kitendo hicho. Mungu siyo mm na wewe, DC Simalenga akanusurika ktk hila hizo .

2. Hamis Kigwangala hakuachwa nyuma ktk ushenzi huu. Mfanyakazi wake alibuni tuhuma kali dhidi yake. Akidai Kigwangalla kampiga risasi za moto. Watu kwa wivu na chuki tu dhidi ya wanasiasa wakaanza kumlaani Kigwangalla pasi na kutafuta ukweli. Polisi wakatumia weledi wao kumhoji Kigwangalla na mtuhumiwa , hatimaye Kigwangalla akazikwepa hila hizo.

3. Hivi Sasa kajitokeza mfanyakazi wa Gekul. Huyu naye amejirekodi akilalama kuwa Gekul ameamuru aingiziwe chupa kwenye tundu la makalioni. Shutuma ni kali sana mitandaoni dhidi ya Gekul, na hata rais ametengua uteuzi wa Gekul kwenye nafasi ya unaibu waziri.

Lkn nani kaiona hiyo chupa ikiwa kwenye tundu la makalio? Vipi kama huyu kijana anafanya maigizo kama ya hawa wengine? Kwann wanasiasa wanakuwa wahanga wakubwa dhidi ya mashambulizi ya mitandaoni?

Ndipo sasa ninawaonya wanasiasa kuwa wawe makini na hila hizi.
 
1. Kuna mdada aliandaliwa kumchafua DC Simalenga. Ustadi mkubwa ulitumika kufunika jicho na shavu la huyo mdada kwa bandeji ilipakwa tomato sauce .

Media uchwara zikategesha kamera mbele ya mdada na kurekodi shutuma kali dhidi ya DC kwamba amemnasa kibao kilichopelekea jicho na shavu kujeruhiwa.

Wanawake na wanaharakati wakapaza sauti za kulaani kitendo hicho. Mungu siyo mm na wewe, DC Simalenga akanusurika ktk hila hizo .

2. Hamis Kigwangala hakuwchwa nyuma ktk ushenzi huu. Mfanyakazi wake alibuni tuhuma kali dhidi yake. Akidai Kigwangalla kampiga risasi za moto. Watu kwa wivu na chuki tu dhidi ya wanasiasa wakaanza kumlaani Kigwangalla pasi na kutafuta ukweli. Polisi wakatumia weledi wao kumhoji Kigwangalla na mtuhumiwa , hatimaye Kigwangalla akazikwepa hila hizo.

3. Hivi Sasa kajitikeza mfanyakazi wa Gekul. Huyu naye amejirkodi akilalama kuwa Gekul ameamuru aingiziwe chupa kwenye Tundu la makalioni. Shutuma ni kali sana mitandaoni dhidi ya Gekul, na hata rais ametengua uteuzi wa Gekul kwenye nafasi ya unaibu waziri.

Lkn nani kaiona hiyo chupa ikiwa kwenye Tundu la makalio? Vipi kama huyu kijana anafanya maigizo kama ya hawa wengine? Kwann wanasiasa wanakuwa wahanga wakubwa dhidi ya mashambulizi ya mitandaoni?

Wewe ni boksi kabisa kama anachafuliwa kwanini akamatwe akiwa anataka kukimbia nchini!!?
 
Kwa hiyo dada ulipomuingizia hiyo chupa baadae uliichomoa ama uliacha akatembea nayo mhanga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom