Yaani ukiwa kiongozi Tanzania unatawala vile unavyotaka wewe Watanzania unawafanya unavyotaka na hakuna chochote kitakachotokea.
Mfano kwenye umeme zamani umeme ukikatika inakua ajabu na watu...
Walikuwepo akina Mtemvu, Fundikila, Kasela Bantu, Kasanga Tumbo nk lakini hatimaye walinaswa na mtego wa Chama Dola.
Lakini huyu Kijana Tundu Antipas Lissu Mungu wa Mbinguni amempa Karama ya...
Wanajamvi,
Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango alikuwa awe mgeni rasmi wa mkutano wa TAWIRI unaofanyika Dodoma, hata hivyo amewakilishwa na Angella Kairuki...
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MWATEX amewachana viongozi wa Tanesco mbele ya mkuu wa mkoa wa Mwanza bwana Amos Makala kwa kukisababishia hasara ya millioni 100 kwa siku kiwanda hicho kutokana na...
Hivi jamii forum ni ukurasa wa watu gani? Hivi Rais au Waziri mkuu na mawaziri wake wanatake time kutembelea ukurasa huu? Au wanadhani ukurasa huu ni wa wapiga kelele na upinzani? Hivi hawajui kua...
Niliingia mahabusu moja nikalala usiku mmoja ,sikuamini kama nipo Tanzania ,watu wanahojiwa kwa kupigwa na vyuma na wanavunjwa mifupa ,mtu analetwa akiwa mzima na anatoka akiwa mlemavu!
Jeshi la...
Hili nalisema kiimani Zaidi kwa Sababu Maombi siyo swala la Siasa au mizaha
Pale Anglikana kwa mfano kila Jumapili Litugia yao ina Vifungu Vya Maombezi na Moja ya kifungu hicho ni kumuombea Rais...
Katika kero ukiachana na tanesco basi hi hawa Nida, asilima kubwa wananchi hawana vitambulisho wala namba
Na sijajua mkurugenzi wa nida ni nani na sijawahi sikia katumbuliwa au kutenguliwa hii...
Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita ameendelea kuonyesha namna Dunia inavyotambua mchango...
Tukio hili la kusikitisha la Hanang linanikumbusha maporomoko kama haya yaliyotokea Uganda miaka kadhaa iliyopita , watu walizikwa na udongo , huku vifaa vya uokozi vikiwa Machepeo na Sululu ...
Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa.
Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao...
Spika Dr Tulia amesema CCM kuna nafasi nyingi unaweza kukosa kwenye kuchaguliwa lakini ukaja Kuteuliwa Msinuniane Uongozi ni kuachiana kijiti
Dr Tulia amesema hayo wakati akimpongeza Mwenyekiti...
Watu wengi hawalielewi na walimshangaa sana Magufuli alivyokuwa akitekeleza Ilani ya CHADEMA na ile ya ACT Wazalendo badala ya CCM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge na Madiwani...
Haraka haraka twendeni kwenye hoja,
LATRA wamepandisha bei za mabasi kwa wastani wa TZS 15 kwa Kila kilometa hasa kwa safari za Mikoani,
Mfano kutoka Dar es Salaam mpaka Bukoba ni sawa na...
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.
Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya...
Ni Ukweli usiopingika CCM inapochagua Viongozi wake wa NGAZI zote utaona imezingatia DEMOKRASIA ya hali ya Juu.Unapokuja kwenye Ngazi ya UENYEKITI TAIFA Demokrasia inapotea kwani INATOLEWA FOMU...
Tanzania imetia saini mkataba wa moja ya miradi mikubwa ya mikopo ya kaboni inayotokana na ardhi Afrika Mashariki.
Mradi huu unahusisha mbuga sita za kitaifa, zenye ukubwa wa hekta milioni 1.8...
Imekuwa ni Imani ya iuda mrefu kwamba Ngome ya CHADEMA ni Kanda ya Kaskazini, Ngome ya CUF ni Pemba na Ngome ya ACT Wazalendo Ujiji, Kigoma, lakini siyo rahisi kuwaona CHADEMA wakishiriki kwenye...