Tokea tupate uhuru sijaona kiongozi wa upinzani mwenye misimamo isiyoyumba kama Tundu Lissu. Huyu ni kiongozi mbadala!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,022
1701843772573.png

Walikuwepo akina Mtemvu, Fundikila, Kasela Bantu, Kasanga Tumbo nk lakini hatimaye walinaswa na mtego wa Chama Dola.

Lakini huyu Kijana Tundu Antipas Lissu Mungu wa Mbinguni amempa Karama ya pekee ambayo ni "Macho ya Rohoni".

Nilimsikiliza juzi pale Vingunguti, huyu Jamaa anaijua Dunia.

Lisu anasema Muwekezaji hanaga Rafiki wa kudumu ambaye ni Mwanadamu bali Rafiki yake wa Kudumu ni "Maslahi Binafsi".

Mungu wa Mbinguni azidi kumjalia Vipawa na Hekima huyu Tundu Antipas Lissu.

Ahsanteni sana.

TAL: Mimi ni Yanga lakini kamwe siwezi kuvaa Jezi 😂
 
Walikuwepo akina Mtemvu, Fundikila, Kasela Bantu, Kasanga Tumbo nk lakini hatimaye walinaswa na mtego wa Chama DOLA.

Lakini huyu Kijana Tundu Antipas Lisu Mungu wa Mbinguni amempa Karama ya Pekee ambayo ni " Macho ya Rohoni"

Nilimsikiliza juzi pale Vingunguti, huyu Jamaa anaijua Dunia.

Lisu anasema Muwekezaji hanaga Rafiki wa kudumu ambaye ni Mwanadamu bali Rafiki yake wa Kudumu ni " Maslahi Binafsi"

Mungu wa Mbinguni azidi kumjalia Vipawa na Hekima huyu Tundu Antipas Lisu

Ahsanteni sana

TAL: Mimi ni Yanga lakini kamwe siwezi kuvaa Jezi 😂
Labda awe mbadala wa Mke wako
 
Wanasiasa bora wa muda wote wa upinzani Tanzania ni;
1. Prof Lipumba
2. Dr Slaa
3. Hayati Mtikila
4. Zitto
5. Hawa Bananga
6. Freeman Mbowe
7. Mbatia
8. Fahmi Dovutwa
9. Lissu
10. Hashim Rungwe
 
Wewe Huwa hueleweki
 
Wewe Huwa hueleweki
Jamaa huwa anatumia hili jukwaa kama sehemu ya kujifurahisha na kupiga soga. Kwake siasa ni jambo la utani na kutaniana. Turudi kwenye mada. Lissu ni namba nyingine na hayupo kwenye siasa kwa sababu ya maslahi. Ameanza harakati za kupinga uonevu kabla hata hajaingia kwenye siasa. Ni mtu anapenda kuwa upande wa watu wanaoonewa na moyo wake huridhika anapopigana na uonevu.
 
Lugha za kuropoka kama ulivyofanya zinaash ŵwewŵewe eiriAa matatizo ya kichwani. Walio wazima kichwani kama hawakubaliani na hoja ya mleta mada wangekanusha kwa hoja, na kutoa sababu. Lakini kichwani kukiwa nusu, huwezi kukanusha, huwezi kutoa hoja, unabakia kuropoka na kutoa vioja kama ulivyofanya.
📌📌🔨
 
Huyo mwamba,ukiweka uchawa na tumbo mbele Kwanza pembeni,ukajibatiza UZALENDO.Huyu mwamba inatakiwa watu wajifunze kupitia kwake.

Bahati mbaya,tupo kwenye Nchi ambayo Chama tawala kinajifu gamanisha na VYOMBO VYA DOLA.
Katiba mbovu ambayo haiendani na Ulimwengu wa Sasa.

Tunawapenda waasisi,lakini mabadiriko nayo hatatusubiri katika Ulimwengu huu.
CCM imejaa siasa chafu kupitiliza wanasahau kuwa,Dunia na watu wanabadirika kila uchwao.
Mwamba huyo Yuko vizuri,ila na Mbowe nae ni CHUMA🤔.
Kisiki Cha MPINGO🏋️
 
Jamaa huwa anatumia hili jukwaa kama sehemu ya kujifurahisha na kupiga soga. Kwake siasa ni jambo la utani na kutaniana. Turudi kwenye mada. Lissu ni namba nyingine na hayupo kwenye siasa kwa sababu ya maslahi. Ameanza harakati za kupinga uonevu kabla hata hajaingia kwenye siasa. Ni mtu anapenda kuwa upande wa watu wanaoonewa na moyo wake huridhika anapopigana na uonevu.
Yule jamaa hii kitu Iko kwenye damu na anajua mambo nje NDANI
 
Wanasiasa bora wa muda wote wa upinzani Tanzania ni;
1. Prof Lipumba
2. Dr Slaa
3. Hayati Mtikila
4. Zitto
5. Hawa Bananga
6. Freeman Mbowe
7. Mbatia
8. Fahmi Dovutwa
9. Lissu
10. Hashim Rungwe
huoni aibu kuweka kwenye orodha wanasiasa uchwara ambao hata upinzani wao haunekani mpaka sasa! Acha mzaha
 
Asante kwa Bandiko Mkuu.

Wanasiasa wana nguvu, ila nguvu kubwa ipo kwa wanachi.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom