Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide Kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka ...
11 Reactions
41 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya 27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya...
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
10 Reactions
183 Replies
23K Views
Hakina mambo yamebadilika. Kutokana na kutokuwa na Ajira kundi kubwa la vijana hasa Wasomi wamewaza sana na kufikia Uamuzi kuwa wawe machawa. Uchawa ni hali ya kujitoa ufahamu Aibu Haya Hasira...
3 Reactions
16 Replies
989 Views
Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini. Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa...
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa Serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi. Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai. WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana. Hii nayo imewapa mashaka. 👇
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Taarifa zaidi zitaendelea kutufikia. Poleni kwa msiba mkubwa!
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Hapa ni kati ya BAHI na KINTINKU, kwenye daraja la SGR hali ndio ilivyo ni kero kwa watumiaji wa njia hiyo. Kuna mashimo na madimbwi makubwa ambayo ni hatarishi.
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Majanga ya kiasili yanatajwa ni miongoni mwa matukio ambayo ni vigumu sana kujikinga nayo kwa 100%, kwa sababu mengi hutokea katika scale kubwa na hivyo kuwanyima watu sehemu ya kukimbilia. Hata...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Viongozi wengi kama sio wote wa Dunia watashiriki Mkutano huo wa COP28. ======== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kwenda Dubai kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa...
7 Reactions
117 Replies
7K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Kitila Mkumbo amewataka mabalozi wa mashina kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika mwaka 2024...
1 Reactions
14 Replies
933 Views
Waziri wa nishati January Makamba amesema kama wizara wamejipanga na katika siku mbili zijazo atatoa Suluhisho la kudumu la matatizo ya umeme nchini Makamba amesema wamejipanga vya kutosha na...
12 Reactions
120 Replies
10K Views
Rafiki yangu mmoja, kada wa CCM na aliyekuwa kiongozi wa jumuiya ya wazazi, naikumbuka sana kauli yake, hasa nikisikia pesa za serikali zimetafunwa. Wakati mmoja tuliamua kuanzisha kampuni...
2 Reactions
0 Replies
499 Views
Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM. 2011 meli...
21 Reactions
84 Replies
7K Views
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 06/12/2023 imehitimisha ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Sisi wananchi wa nchi hii tunawataka, mamlaka ya Udhibiti usafiri wa Ardhi (LATRA) wasitishe mara moja, tangazo lao la kupandisha nauli, ambalo wao walisema zitaanza rasmi kesho kutwa, terehe 8...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…