Rais Samia unaamini mtu kama Mchechu anastahili kuwa msajili wa Hazina?

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,240
2,866
Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli.

Siamini wewe kama rais Samia ulifahamu ubora wake. Yupo mtu aliyekwambia huyu anafaa. Siamini kama uliangalia rekodi yake ya nyuma na uhuni alioufanya akiwa NHC na kushirikiana na mashirika kama NSSF. Bahati mbaya sasa anasimamia mashirika hayo yote.

Je, anaposema mashirika sasa yaajiri yenyewe, Mh. Rais unafahamu sababu zake? Sasa tegemea ajira za ukabila na wizi ktk mashirika yote ya umma. Kumbuka huyu anatoka mkoa wa Njombe. Kwa upande wa serikali pia katibu mkuu kiongozi anatoka mkoa wa Njombe. Kwa ufupi ajira zote za serikali ziko mikononi mwa raia wa Njombe. YETU MACHO
 
Wewe unaweza nini zaidi ya majungu na analysis ya darasa la saba? Elimu yako ni ndogo sana kuweza kuongelea uwezo wa kina Mchechu. Unaamini wewe ndiyo mjmjuaji kuliko serikali iliyomuamini ikitumia vyombo vyake vyote vya vetting?
 
Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli.

Siamini wewe kama rais Samia ulifahamu ubora wake. Yupo mtu aliyekwambia huyu anafaa. Siamini kama uliangalia rekodi yake ya nyuma na uhuni alioufanya akiwa NHC na kushirikiana na mashirika kama NSSF. Bahati mbaya sasa anasimamia mashirika hayo yote.

Je, anaposema mashirika sasa yaajiri yenyewe, Mh. Rais unafahamu sababu zake? Sasa tegemea ajira za ukabila na wizi ktk mashirika yote ya umma. Kumbuka huyu anatoka mkoa wa Njombe. Kwa upande wa serikali pia katibu mkuu kiongozi anatoka mkoa wa Njombe. Kwa ufupi ajira zote za serikali ziko mikononi mwa raia wa Njombe. YETU MACHO
Wivu utakuua Zygot na utabakia kuwa embryo tu. Kwa akili yako huwezi ukamfanyia Nehemia Mchechu assessment kwa kuwa umekuja tu na hoja za UKABILA.
 
Namuunga mkono mchechu, TTCL inakufa kwa sababu, hata wakitaka kufanya promotion manzese, vikao zaidi ya kumi lazima vikae kuidhinisha, Vodacom na wenzake ni watu wachache tu, tena wanawasiliana online.

Kuna mambo lazima yafanywe na Baraza la Mawaziri, Sasa katika maamuzi ya haraka ya kibiashara, mpaka kwanza iandaliwe proposal, iende kwa mkuu wa shirika, akosoe, irudishwe, ikubaliwe, iende kwa Katibu mkuu, iikae mwezi mzima, iende kamati ya wataalamu ya makatibu wakuu, wabishane miezi sita, iende kwenye kamati ya makatibu wakuu, wajadili, waamue kuirudisha ikaanze upya, au waikubali, iandaliwe cabinet paper, ipangiwe kikao, halafu kuanzia kuomba Hela hazina.

Ni ngumu kufanya biashara kwa staili hiyo, issue ni mbili serikali iachane na biashara, au iishi kibiashara

Basi la mwendokasi, Nati au kioo kikisumbua, vikao chungunzima
 
Acha Majungu chapa kazi leta ubunifu ulisaidie taifa
Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli.

Siamini wewe kama rais Samia ulifahamu ubora wake. Yupo mtu aliyekwambia huyu anafaa. Siamini kama uliangalia rekodi yake ya nyuma na uhuni alioufanya akiwa NHC na kushirikiana na mashirika kama NSSF. Bahati mbaya sasa anasimamia mashirika hayo yote.

Je, anaposema mashirika sasa yaajiri yenyewe, Mh. Rais unafahamu sababu zake? Sasa tegemea ajira za ukabila na wizi ktk mashirika yote ya umma. Kumbuka huyu anatoka mkoa wa Njombe. Kwa upande wa serikali pia katibu mkuu kiongozi anatoka mkoa wa Njombe. Kwa ufupi ajira zote za serikali ziko mikononi mwa raia wa Njombe. YETU MACHO
 
Namuunga mkono mchechu, TTCL inakufa kwa sababu, hata wakitaka kufanya promotion manzese, vikao zaidi ya kumi lazima vikae kuidhinisha, Vodacom na wenzake ni watu wachache tu, tena wanawasiliana online.

Kuna mambo lazima yafanywe na Baraza la Mawaziri, Sasa katika maamuzi ya haraka ya kibiashara, mpaka kwanza iandaliwe proposal, iende kwa mkuu wa shirika, akosoe, irudishwe, ikubaliwe, iende kwa Katibu mkuu, iikae mwezi mzima, iende kamati ya wataalamu ya makatibu wakuu, wabishane miezi sita, iende kwenye kamati ya makatibu wakuu, wajadili, waamue kuirudisha ikaanze upya, au waikubali, iandaliwe cabinet paper, ipangiwe kikao, halafu kuanzia kuomba Hela hazina.

Ni ngumu kufanya biashara kwa staili hiyo, issue ni mbili serikali iachane na biashara, au iishi kibiashara

Basi la mwendokasi, Nati au kioo kikisumbua, vikao chungunzima
TTCL inauliwa na CCM
 
Unanikumbusha vitimbi vya Sir Humphrey na kundi lake kwenye Yes Minister
 
Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli.

Siamini wewe kama rais Samia ulifahamu ubora wake. Yupo mtu aliyekwambia huyu anafaa. Siamini kama uliangalia rekodi yake ya nyuma na uhuni alioufanya akiwa NHC na kushirikiana na mashirika kama NSSF. Bahati mbaya sasa anasimamia mashirika hayo yote.

Je, anaposema mashirika sasa yaajiri yenyewe, Mh. Rais unafahamu sababu zake? Sasa tegemea ajira za ukabila na wizi ktk mashirika yote ya umma. Kumbuka huyu anatoka mkoa wa Njombe. Kwa upande wa serikali pia katibu mkuu kiongozi anatoka mkoa wa Njombe. Kwa ufupi ajira zote za serikali ziko mikononi mwa raia wa Njombe. YETU MACHO
Nikajua umekuja na hoja ya maana kumbe unaongea upuuzi na hisia za kijinga.

Yaani tuache kupambana na inefficiency kisa mnadai wataajiriwa watu Kwa kujuana sijui connection na blaa blaa kama hizo?

Kama mambo hayo hutokea na ushahidi mnao mnashindwa nini kwenda kushtaki?

Kinachotakiwa ni Ufanisi sio hisia zenu za sijui kujuana na blaa blaa kama hizo.

Naunga mkono taasisi zote ambazo Zina mlengo wa kibiashara ziajiri zenyewe Ili kuondoa ukiritimba usio na msingi.

Mtoa mada umewahi sikia Ajira za NMB au CRDB zinapitia Serikalini? Huko si Serikali Ina hisia karibu nusu? Kuna upendeleo upi?

Hasara ambazo Nchi inapata Kwa kutumia ruzuku ya mabilioni kulea mashirika yasiyo na Ufanisi ni kubwa kuliko Ajira za connection.
 
Kwa Serikali hii. Hakuna mtu kichwa na wa matokeo chanya kama Nehemia Mchechu
 
Nikajua umekuja na hoja ya maana kumbe unaongea upuuzi na hisia za kijinga.

Yaani tuache kupambana na inefficiency kisa mnadai wataajiriwa watu Kwa kujuana sijui connection na blaa blaa kama hizo?

Kama mambo hayo hutokea na ushahidi mnao mnashindwa nini kwenda kushtaki?

Kinachotakiwa ni Ufanisi sio hisia zenu za sijui kujuana na blaa blaa kama hizo.

Naunga mkono taasisi zote ambazo Zina mlengo wa kibiashara ziajiri zenyewe Ili kuondoa ukiritimba usio na msingi.

Mtoa mada umewahi sikia Ajira za NMB au CRDB zinapitia Serikalini? Huko si Serikali Ina hisia karibu nusu? Kuna upendeleo upi?

Hasara ambazo Nchi inapata Kwa kutumia ruzuku ya mabilioni kulea mashirika yasiyo na Ufanisi ni kubwa kuliko Ajira za connection.
Akili za kijamaa zinawazaga maujinga tu hawajui kuwaza matokeo
 
Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli.

Siamini wewe kama rais Samia ulifahamu ubora wake. Yupo mtu aliyekwambia huyu anafaa. Siamini kama uliangalia rekodi yake ya nyuma na uhuni alioufanya akiwa NHC na kushirikiana na mashirika kama NSSF. Bahati mbaya sasa anasimamia mashirika hayo yote.

Je, anaposema mashirika sasa yaajiri yenyewe, Mh. Rais unafahamu sababu zake? Sasa tegemea ajira za ukabila na wizi ktk mashirika yote ya umma. Kumbuka huyu anatoka mkoa wa Njombe. Kwa upande wa serikali pia katibu mkuu kiongozi anatoka mkoa wa Njombe. Kwa ufupi ajira zote za serikali ziko mikononi mwa raia wa Njombe. YETU MACHO
ulitaka akauamini wewe?mbona wewe ni mpumbavu kiasi hicho?
 
Mchechu ni mpigaji amewekwa hapo hazina na JAKAYA KIKWETE kwa malengo maalumu
 
Namuunga mkono mchechu, TTCL inakufa kwa sababu, hata wakitaka kufanya promotion manzese, vikao zaidi ya kumi lazima vikae kuidhinisha, Vodacom na wenzake ni watu wachache tu, tena wanawasiliana online.

Kuna mambo lazima yafanywe na Baraza la Mawaziri, Sasa katika maamuzi ya haraka ya kibiashara, mpaka kwanza iandaliwe proposal, iende kwa mkuu wa shirika, akosoe, irudishwe, ikubaliwe, iende kwa Katibu mkuu, iikae mwezi mzima, iende kamati ya wataalamu ya makatibu wakuu, wabishane miezi sita, iende kwenye kamati ya makatibu wakuu, wajadili, waamue kuirudisha ikaanze upya, au waikubali, iandaliwe cabinet paper, ipangiwe kikao, halafu kuanzia kuomba Hela hazina.

Ni ngumu kufanya biashara kwa staili hiyo, issue ni mbili serikali iachane na biashara, au iishi kibiashara

Basi la mwendokasi, Nati au kioo kikisumbua, vikao chungunzima
Taasis Zina ngazi tatu za uendeshaji ambazo huwezi kukwepa
Strategic ambazo ni za mda mrefu ambazo ndizo zinahitaji hiyo milolongo.
Business ambazo zinahusu muda WA mwaka kama bajeti n.k
Na operation ambazo ni day by day na Zina miongozo ya kufuata
 
Mchechu ni mpigaji amewekwa hapo hazina na JAKAYA KIKWETE kwa malengo maalumu
Kamq huo upigaji wa kikwete anaosemwa ungekuwa kweli basi angemzidi hata bil Gates kwa hela. Nyumba za kuishi tu zenyewe za msoga na kawe kajengewa na Serikali. Sasa hizo hela unamsaidia kukaa nazo wewe?
 
Back
Top Bottom