peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,829
- 21,460
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.
Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.
Cha kushangaza zaidi leo jumapili alikuwa kwenye hotel fulani na viongozi wa chama fulani cha upinzani.
Ushauri wangu Kwa Chama Tawala, Huyu Katibu yuko mbioni kuuza jimbo kuanzia Serikali Za mitaa uchaguzi wake 2024 na atamizia na uchaguzi mkuu 2025.
Kukinga ni bora kuliko kuponya