Rais Samia aondoka nchini akielekea Dubai Kushiriki Mkutano wa Mazingira wa COP28

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,784
Viongozi wengi kama sio wote wa Dunia watashiriki Mkutano huo wa COP28.

========

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kwenda Dubai kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaoanza leo Alhamisi, Novemba 30- Desemba 12, 2023.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Rais Samia amesindikizwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

My Take: Je, Rais atakaa huko Dubai Kwa wiki zote 2 za Mkutano au?

Samia Dubai.jpg

Samia Dubai 2.jpg

Pia Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
 
Viongozi wengi kama sio wote wa Dunia watashiriki Mkutano huo wa COP28.

========

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kwenda Dubai kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaoanza leo Alhamisi, Novemba 30- Desemba 12, 2023.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Rais Samia amesindikizwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

My Take: Je, Rais atakaa huko Dubai Kwa wiki zote 2 za Mkutano au?

View attachment 2829321
View attachment 2829322
Kila la kheri ndugu Rais,
Tanzania inakuombea safari ya mafanikio.....
 
Viongozi wengi kama sio wote wa Dunia watashiriki Mkutano huo wa COP28.

========

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kwenda Dubai kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaoanza leo Alhamisi, Novemba 30- Desemba 12, 2023.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Rais Samia amesindikizwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

My Take: Je, Rais atakaa huko Dubai Kwa wiki zote 2 za Mkutano au?

View attachment 2829321
View attachment 2829322
Ni Dubai, Dubai,Dubai,Dubai na Dubai Tena. Wewe Dubai Kwanini unaitafuna nchi yetu bila aibu? Umempa Nini huyu mama Hadi mahaba yote yahamie kwako. Dubai jama tuhurumie Watanzania
 
Viongozi wengi kama sio wote wa Dunia watashiriki Mkutano huo wa COP28.

========

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kwenda Dubai kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaoanza leo Alhamisi, Novemba 30- Desemba 12, 2023.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Rais Samia amesindikizwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

My Take: Je, Rais atakaa huko Dubai Kwa wiki zote 2 za Mkutano au?

View attachment 2829321
View attachment 2829322
Akatuletee msaada wa kulinda mazingira yetu.
 
Back
Top Bottom