Hivi Tanzania kwa sasa ipo kwenye uchumi gani maana kopa kopa imekuwa kubwa

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,035
Wadau Wakati wa Utawala wa Awamu ya 4 Maboresho Makubwa ya Uchumi wetu yalifanyika mpaka Nchi ikaingia kwenye Uchumi wa Kati na kuendelea kidogo Awamu ya 5 kabla ya Bwana yule kuuvuruga kwa SERA zake mbovu na hatimae kuishusha kabisa Tanzania kwenye Ule UCHUMI wa KATI.

Sasa hivi hata haieleweki Nchi ipo kwenye UCHUMI upi kwani hata Wachumi wetu wamepigwa na Butwaa wala hawasikiki kuzungumzia tena.

Na hii KOPA KOPA inayoendelea sijui itatufikisha kwenye UCHUMI upi maana DENI likiwa halilipi tafsiri yake ni UCHUMI MBOVU.
 
Kwani Huwa Kuna uchumi ambao hakuna kukopa?
 
Back
Top Bottom