Dkt. Mwinyi kumwakilisha Rais Samia, Doha forum 2023

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuelekea Doha, Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la Doha 2023 (Doha Forum 2023) tarehe 8 Desemba, 2023.

Rais Dk. Mwinyi atashiriki jukwaa hilo litakalowakutanisha viongozi mbalimbali wa dunia lenye mada ya 'Kujenga mustakabali wa pamoja' kwa mienendo ya kisiasa ya kijiografia pamoja na msingi wa diplomasia ya mazungumzo.

IMG-20231209-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom