Futa sherehe za Tanganyika hewa Desemba 9

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,350
Kwa nini Watanganyika wote mamilioni kwa mamilioni tunageuzwa wendawazimu na chama cha CCM kwa kutuchezea mchezo wa danganya toto ?

Haiwezekani tunambiwa Desemba 9 ni sherehe za uhuru wa Tanzania bara huu ni upumbavu, Tanzania bara ni uchafu gani huu ?

Hili neno takataka linaloitwa Tanzania bara limetolewa wapi ? Kwa nini inakuwa ngumu kutamkwa Tanganyika ambayo maviongozi ya CCM mpaka mazaliwa ya Tanganyika kwa tamaa za vyeo na ujinga wao yamekubali kuiuza mazima Tanganyika na kuipoteza kabisa.

Mbona sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zinafahamika na zina sherekewa kwa kuongozwa na kiongozi wao kabisa kwa nini linapokuja swala la Tanganyika kila historia yake yote kama sio kupindishwa au kupotezwa basi inafutwa kabisa kama ambavyo Tanganyika imefutwa machoni, masikioni na mioyoni kwa Watanganyika wengi imebaki kwa Wanganyika wachache sana.

Kwa nini sherehe za uhuru unaofahamika wa Tanganyika uliogeuzwa jina na kupewa jina la kipuuzi la Tanzania bara ziongozwe na Rais wa jamhuri ya Muungano Rais wa Tanganyika yu wapi ?

So, Nyerere ( sijui kwa nini kuna watu wanaona huyu bwana alikuwa ana akili nyingi sana inasikitisha kama huyu ni kipimo cha watu wenye akili nyingi ) alikubali kuiuza na kuipoteza mazima kabisa Tanganyika ila nchi ya Zanzibar katiba na mamlaka yake yakaachwa huu si uwendawazimu sasa ?!.

Tanganyika hii wapi ? Kama Tanganyika haipo sherehe zifutwe zilizo pachikwa jina la kiuni na la kipuuzi Tanzania bara haiwezekani kusherehekea kitu kisicho kuwepo huko ni kujilisha upepo na kujipa matumaini hewa.

Mzanzibar anajua nini kuhusu thamani na uhuru wa Tanganyika ? Kwa nini mtu asiye Mtanganyika kusima na kutuongoza Watanganyika na kutusemea kuhusu thamani na umuhimu wa uhuru wetu ?

Katika mamilioni hakuna Mtanganyika hata mmoja wa kutusemea kuhusu thamani na uhuru wetu mpaka atoke Mzanzibar huko kuja kutusemea ? Wao mambo ya Watanganyika yana umuhimu gani kwao ?
1200px-Flag_of_Tanganyika_(19611964).svg.png
 
Kwa nini Watanganyika wote mamilioni kwa mamilioni tunageuzwa wendawazimu na chama cha CCM kwa kutuchezea mchezo wa danganya toto ?

Haiwezekani tunambia Desemba 9 ni sherehe za uhuru wa Tanzania bara huu ni upumbavu, Tanzania bara ni uchafu gani huu ?

Hili neno takataka linaloitwa Tanzania bara limetolewa wapi ? Kwa nini inakuwa ngumu kutamkwa Tanganyika ambayo maviongozi ya CCM mpaka mazaliwa ya Tanganyika kwa tamaa za vyeo na ujinga wao yamekubali kuiuza mazima Tanganyika na kuipoteza kabisa.

Mbona sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zinafahamika na zina sherekewa kwa kuongozwa na kiongozi wao kabisa kwa nini linapokuja swala la Tanganyika kila historia yake yote kama sio kupindishwa au kupotezwa basi inafutwa kabisa kama ambavyo Tanganyika imefutwa machoni, masikioni na mioyoni kwa Watanganyika wengi imebaki kwa Wanganyika wachache sana.

Kwa nini sherehe za uhuru unaofahamika wa Tanganyika uliogeuzwa jina na kupewa jina la kipuuzi la Tanzania bara ziongozwe na Rais wa jamhuri ya Muungano Rais wa Tanganyika yu wapi ?

So, Nyerere ( sijui kwa nini kuna watu wanaona huyu bwana alikuwa ana akili nyingi sana inasikitisha kama huyu ni kipimo cha watu wenye akili nyingi ) alikubali kuiuza na kuipoteza mazima kabisa Tanganyika ila nchi ya Zanzibar katiba na mamlaka yake yakaachwa huu si uwendawazimu sasa ?!.

Tanganyika hii wapi ? Kama Tanganyika haipo sherehe zifutwe zilizo pachikwa jina la kiuni na la kipuuzi Tanzania bara haiwezekani kusherehekea kitu kisicho kuwepo huko ni kujilisha upepo na kujipa matumaini hewa.View attachment 2837243
Una hoja
 
9/12/1961 -. Uhuru wa Tanganyika

10/12/1963. - Uhuru wa Zanzibar

Hizo zote zinapotoshwa kwa manufaa ya kisiasa ya Ccm.
 
That's a fact

Julius Nyerere made an imbecilic offer to unite with Zanzibar and castrate our beloved nation state of Tanganyika
 
Kwa nini Watanganyika wote mamilioni kwa mamilioni tunageuzwa wendawazimu na chama cha CCM kwa kutuchezea mchezo wa danganya toto ?

Haiwezekani tunambiwa Desemba 9 ni sherehe za uhuru wa Tanzania bara huu ni upumbavu, Tanzania bara ni uchafu gani huu ?

Hili neno takataka linaloitwa Tanzania bara limetolewa wapi ? Kwa nini inakuwa ngumu kutamkwa Tanganyika ambayo maviongozi ya CCM mpaka mazaliwa ya Tanganyika kwa tamaa za vyeo na ujinga wao yamekubali kuiuza mazima Tanganyika na kuipoteza kabisa.

Mbona sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zinafahamika na zina sherekewa kwa kuongozwa na kiongozi wao kabisa kwa nini linapokuja swala la Tanganyika kila historia yake yote kama sio kupindishwa au kupotezwa basi inafutwa kabisa kama ambavyo Tanganyika imefutwa machoni, masikioni na mioyoni kwa Watanganyika wengi imebaki kwa Wanganyika wachache sana.

Kwa nini sherehe za uhuru unaofahamika wa Tanganyika uliogeuzwa jina na kupewa jina la kipuuzi la Tanzania bara ziongozwe na Rais wa jamhuri ya Muungano Rais wa Tanganyika yu wapi ?

So, Nyerere ( sijui kwa nini kuna watu wanaona huyu bwana alikuwa ana akili nyingi sana inasikitisha kama huyu ni kipimo cha watu wenye akili nyingi ) alikubali kuiuza na kuipoteza mazima kabisa Tanganyika ila nchi ya Zanzibar katiba na mamlaka yake yakaachwa huu si uwendawazimu sasa ?!.

Tanganyika hii wapi ? Kama Tanganyika haipo sherehe zifutwe zilizo pachikwa jina la kiuni na la kipuuzi Tanzania bara haiwezekani kusherehekea kitu kisicho kuwepo huko ni kujilisha upepo na kujipa matumaini hewa.

Mzanzibar anajua nini kuhusu thamani na uhuru wa Tanganyika ? Kwa nini mtu asiye Mtanganyika kusima na kutuongoza Watanganyika na kutusemea kuhusu thamani na umuhimu wa uhuru wetu ?

Katika mamilioni hakuna Mtanganyika hata mmoja wa kutusemea kuhusu thamani na uhuru wetu mpaka atoke Mzanzibar huko kuja kutusemea ? Wao mambo ya Watanganyika yana umuhimu gani kwao ?
View attachment 2837243
Hawataki mihongano ,chuki na mitafaruku ya watu kupitia siasa

CCM ni laana
 
Wajameni ni katika kukumbushana tuu kuwa maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania, na sio wa Tanganyika!.

Nawatakia sikukuu njema ya Uhuru na Jamhuri.

Paskali

Nawatakia maadhimisho mema ya siku ya Uhuru na Jamhuri, nikiendelea kusisitiza, kumbukumbu ndio kumbukumbu za uhuru wa Tanganyika, lakini maadhimisho ni maadhimmisho ya uhuru wa Tanzania. Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
P
 
Watu ni wapumbavu mnavyolalamika ni kama Zanzibar ndio wameshikilia muungano wakati wao wenyew hawautaki mijitu ya Bara ndio imeng'ang'ania muungano wakiongozwa na Ccm Zanzibar kila mara wanataka kuvunja muungano.
 
Kwa nini Watanganyika wote mamilioni kwa mamilioni tunageuzwa wendawazimu na chama cha CCM kwa kutuchezea mchezo wa danganya toto ?

Haiwezekani tunambiwa Desemba 9 ni sherehe za uhuru wa Tanzania bara huu ni upumbavu, Tanzania bara ni uchafu gani huu ?

Hili neno takataka linaloitwa Tanzania bara limetolewa wapi ? Kwa nini inakuwa ngumu kutamkwa Tanganyika ambayo maviongozi ya CCM mpaka mazaliwa ya Tanganyika kwa tamaa za vyeo na ujinga wao yamekubali kuiuza mazima Tanganyika na kuipoteza kabisa.

Mbona sherehe za mapinduzi ya Zanzibar zinafahamika na zina sherekewa kwa kuongozwa na kiongozi wao kabisa kwa nini linapokuja swala la Tanganyika kila historia yake yote kama sio kupindishwa au kupotezwa basi inafutwa kabisa kama ambavyo Tanganyika imefutwa machoni, masikioni na mioyoni kwa Watanganyika wengi imebaki kwa Wanganyika wachache sana.

Kwa nini sherehe za uhuru unaofahamika wa Tanganyika uliogeuzwa jina na kupewa jina la kipuuzi la Tanzania bara ziongozwe na Rais wa jamhuri ya Muungano Rais wa Tanganyika yu wapi ?

So, Nyerere ( sijui kwa nini kuna watu wanaona huyu bwana alikuwa ana akili nyingi sana inasikitisha kama huyu ni kipimo cha watu wenye akili nyingi ) alikubali kuiuza na kuipoteza mazima kabisa Tanganyika ila nchi ya Zanzibar katiba na mamlaka yake yakaachwa huu si uwendawazimu sasa ?!.

Tanganyika hii wapi ? Kama Tanganyika haipo sherehe zifutwe zilizo pachikwa jina la kiuni na la kipuuzi Tanzania bara haiwezekani kusherehekea kitu kisicho kuwepo huko ni kujilisha upepo na kujipa matumaini hewa.

Mzanzibar anajua nini kuhusu thamani na uhuru wa Tanganyika ? Kwa nini mtu asiye Mtanganyika kusima na kutuongoza Watanganyika na kutusemea kuhusu thamani na umuhimu wa uhuru wetu ?

Katika mamilioni hakuna Mtanganyika hata mmoja wa kutusemea kuhusu thamani na uhuru wetu mpaka atoke Mzanzibar huko kuja kutusemea ? Wao mambo ya Watanganyika yana umuhimu gani kwao ?
View attachment 2837243
Mkuu umeandika kwa uchungu na ukweli. Haingii akilini huko mashuleni wanafunzi wanakaririshwa historia ya uongo kwamba eti TANZANIA ilipata uhuri mwaka 1961. Ni ujinga na upumbavu ws kiwango cha lami.

Pamoja na kutuleta uhuru wa bendera, moja ya mambo ya kipuuzi na kizezeta aliyofanya Nyerere na CCM yake ni kuifuta Tanganyika kwenye ramani ya dunia.
 
Back
Top Bottom