Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Doha Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
Wanabodi,
Declaration of Interest
Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia...
Ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Shinyanga, wilaya ya Kishapu, katika kijiji cha Ukenyenge.
Ni msomi kutokea chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Masele ni mmoja wa vijana waliopata bahati ya kuaminika na...
Tanganyika ilianzishwa chini ya wakoloni wa Kiingereza mnamo mwaka 1921 mara baada ya vita ya Kwanza ya dunia kuisha. Nchi hii ambayo toka ilipochukuliwa na Mjerumani mwaka 1885 iliitwa German...
Naomba kuuliza katika utawala je Rais huwa HAKOSEI?
Je, Rais anaweza kuwa na ushawishi wowote wenye nguvu kuingiza nchi kwenye mikataba isiyo na tija Kwa nchi?
Je, Rais anaweza kuamua Jambo...
Hakika KESI ya MEMBE VS MUSIBA na FATUMA VS MUSIBA ni ya aina yake nzuri sana KUJIFUNZA kwa sasa.
Kesi hizi mbili ni SOMO TOSHA kwa hili KUNDI KUBWA lililoanza kuibuka Katika UTAWALA wa AWAMU ya...
Mbunge wa zamani huko Monduli hayati Sokoine aliwahi kusema Ukiona Binadamu anamsifia Binadamu badala ya Mungu ujue ana ajenda ya Siri.
Sokoine alisema Sifa na Shukrani ni kwa Mungu bali kwenye...
Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga...
Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii.
Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya...
Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua...
Nyie mnaolia kupanda kwa nauli mnataka sheli za olypiacos, blue coast na lake oil zimuuzie nani mafuta? Nyie mnapolipa nauli kubwa ndo makampuni ya mabasi yanapokua na pesa nyingi za kujaza full...
Leo Tanganyika inasherehekea miaka 62 ya uhuru wa bendera toka kwa mkoloni wa Kiingereza.
Nakumbuka wakati tunapata uhuru Hayati Mwl. JKN, baba wa Taifa alisema, pamoja na uhuru huo, bado kama...
CWT ilianza kupata mapengo muda mrefu hata kabla ya katibu Japhet Maganga.
Kwa Japhet Yeye anaamini wanaomuhujumu ni viongozi waliopita, hasa katibu. Wapo wanaoamini siasa ya CWT inaathiri sana...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Sehemu ya Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa, Mhandisi Mashaka Sitta baada ya Mhandisi Sitta kutotimiza vema majukumu...
Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika.
Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia...
Ninasema hivyo kutokana na mtazamo wangu binafsi.siwakilishi chama chochote cha kisiasa nchini.
Mbinu za ufanyaji siasa za chadema kwa sasa zimepitwa na wakati au zimechokwa!
Ninaposema hivyo...
Prof. Mbarawa ameyasema hayo alipohutubia Mkutano wa Majadiliano ya sekta ya Usafirishaji Nchini uliokuwa unafanyika Arusha.
Mbarawa amenukukiwa akisema Mwekezaji huyo ni tofauti na DP World na...