Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,582
Wanabodi,

Declaration of Interest
Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya kumsikia delivaries zake Arumeru.

Angalizo
Kama wewe ni miongoni mwa wale mnaokereka, Magufuli, serikali yake au mteule wake yoyote akisifiwa, then nakushauri, uishie hapa ili usikereke na kuharibu mood ya siku yako asubuhi subuhi. Hapa nimesifu kitu nilichosikia tuu amesema na amefanya.

Japo namfahamu Jerry Muro akiwa mtangazaji wa TV na nilimuona kama bishoo fulani tuu, hivyo alipoteuliwa DC, nilidhani atapeleka ubishoo kwenye u-DC kumbe huyu jamaa, Jerry Muro ni jembe kweli, yuko vizuri, ni visionary leader mwenye uwezo, ana vision na mission to accomplish, ameonyesha uwezo, kipaji cha uongozi, na sasa anastahili kuwa RC, na akipewa u RC, atakuwa kama RC Antony Mtaka, ambapo nadhani hawa jamaa watendaji wazuri wote kwenye u DC na u RC, wanastahili kuingia Bungeni kumsaidi rais kwa karibu zaidi ndani ya cabinet ya 2020.

Tangu ameteuliwa DC, leo ndio kwa mara ya kwanza nimemuona na kumsikiliza anafanya nini Arumeru, kiukweli kabisa this guy is dam good!, ni mbunifu, ni mfuatiliaji, ni mtendaji sio tuu ni mtoa maagizo, bali mpima matokeo ya utekelezaji.

Amesema alipofika Arumeru, alikuta kuna tatizo kubwa ardhi, akatolea mfano kuna mgogoro wa kiwanja baina ya wajane wawili wa mume mmoja uliodumu kwa miaka 18 bila mashamba kulimwa, sasa amewapatanisha, wamepatana, wameshikana mikono na kukumbatiana, sasa mgogoro huo umemalizika rasmi na mashamba sasa yanalimwa.

Wale wenye nafasi angalie TBC saa hii, Jerry yuko hewani anatiririka, kwenye kipindi maalum cha 30 min kuhusu Maendeleo ya Arumeru, kiukweli kabisa I'm very impressed by hisi vision ya Arumeru anayoitaka, I wish kipindi hiki kiwe uploaded youtube, nikiweke mkisikiliza ndipo mtanielewa nasema nini humu, vinginevyo itaonekana kama promo kwa Jerry Morro. Na ingekuwa ni amri yangu, sasa tunapoelekea 2020, kila DC atengeneze kipindi cha 30 minutes kirushwe bure TBC kuonyesha ameleta maendeleo gani jimbo lake, wilaya yake, mkoa wake, ili 2020 kwa Wabunge, wananchi wawarudishe kwa merits za development landmarks. Na kwa ma RC na ma DC warudi wale tuu walioonyedha utendaji kwa vigezo vya kupima matokeo , results oriented outcomes na sio kwa utoaji wa maagizo.

Wakipatikana ma DC kama huyu 25 tuu, wakafanywa kuwa ma RC, tutapata kina Antony Mtaka wa kutosha mikoa yote!.

Kwa haya Jerry anayoyafanya Arumeru, kiukweli Mhe. Joshua Nasari, ama aunge mkono Juhudi kwa kujiunga nao, ama atafute shughuli nyingine ya kufanya past 2020. Na Jerry akiamua kugombea Hai, nashauri, ili kimuepushia aibu ya kushindwa, mbunge wa sasa wa Jimbo la Hai, namshauri asigombee, bali ampishe tuu kijana huyu mchapakazi kama Magufuli.

Paskali
Rejea za Wasifu wa Viongozi Mbalimbali.
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... - JamiiForums
Na hizi ni baadhi tuu ya Cheche za Jerry Murro Arumeru.TZ

1:48

Jerry Murro Atoa Maagizo Mazito Baada ya Kuapishwa Kuwa DC Arumeru, "Nimepigiwa simu sana"

6:13

Jerry Murro kawageukia Wakurugenzi na Waganga "Spidi yangu ni ya Dreamliner"

4:12

Update: Dc Muro aliamsha,mwekezaji kutaka kunyang'anywa eneo lake Arumeru.

0:31

Jerry Murro DC Arumeru.

5:56

Jerry Muro baada ya kuapishwa atoa agizo "Nitawabugudhi, Tanzania na Afrika itajua"

5:26

DC JERRY MURO ATEMA CHECHE KWA VIJANA ARUMERU.

13:18

Wananchi Arumeru wamtoa jasho Jerry Muro/ Kisa ..

9:27

Jerry Muro awasha moto wizi wa milioni 350 za TASAF/ Wawili jela yawaita

3:08

DC Jerry Muro: Ukimtia mimba binti wa Arumeru utateseka miezi tisa

1:23

huwezi kumtukana rais halafu nikuache :Jery Muro Mkuu wa Wilaya ya Arumeru"

0:53

Dc Muro apiga marufuku kampuni za udalali wa viwanja Arumeru

2:55

JERRY MURRO: MIMI NI MAKONDA MWINGINE SEHEMU NYINGINE / USEMAJI IKU

3:46

Jerry Murro Ukuu wa Wilaya Hauna Ubia ,Kimanta mtapata Tabu Sana

5:40

JERRY MURRO AMGEUKIA NASSARI, AMTUHUMU KUISHI GHOROFANI, KUTEMBELEA VX.

Jerry Murro “Atishia Kushawishi Kuvunjwa Baraza la Madiwani Arusha Dc “

27:31

MKUU WA WILAYA YA ARUMERU MHE: JERRY MURO AKIONGOZA TAMASHA NA HARAMBE KKKT USA RIVER

2:03
 
Kuna kosa kubwa sana tunalofanya kama waafrika - kuamini uwezo binafsi wa mtu kuliko taasisi. Labda ni silka yetu ya tawala za kitemi, ambapo mtemi ndiyo anaamua nano ale na nani anyongwe leo.

Katika haya mapungufu yetu ndiyo unaona watu wanapotezea dhana nzima ya tawala za mitaa, km halmashauri, na kumuangalia huyu DC au RC ambao kiukweli hawana uwezo wowote wa kitaasisi isipokuwa lile rungu la kuwa mwenyekiti wa kamati ya usalama ya eneo husika.

Ukitaka kujua madhara ya kufanya hivyo, angalia taifa la DRC, ambalo tofauti na makoloni mengine ya africa, lilitolewa kama shamba binafsi la mfalme leopold wa belgium. Hakukuwa na jitihada yeyote ya kujenga taasisi za utawala, kama ilivyokuwa kwenye makoloni ya mwingereza, mfaransa au mreno. Uamuzi wote ulitokea kwenye kichwa cha mfalme leopold - nakushauri usome au uangalie movie ya Heart of Darkness ili uone madhara ya utawala wa aina hiyo. Lakini hata usipoweza kuangalia/ kusoma hicho kitabu unawrza ikaangalia tu namna DRC ilivyoshindikana mpaka leo. DRC sasa hivi ni nchi inayofaa kunyonywa tu, na ndiyo maaana rwanda, iganda na mtu yeyote mwenye akili anakazania kuinyonya kwa khadri ya uwezo wake. Tanzabia tusiingie kwenye mtego wa kuuwa taasisi za utawala.
 
Mbona Bashite anatiririka vizuri tyuu lakini ni bashite. Amefeli darasani nikajua atafaulu nako kwenye uongozi kumbe naye ni hopeless. Naona wanajiandaa na uchaguzi baada ya kuharibu Kila walichogusa Sasa wanataka kurudisha Hali Kama mwanzo ila wameweza kwa wafanyakazi huko kwingine wameshaharibu Kila kitu
 
Wanabodi,

Japo namfahamu Jerry Muro akiwa mtangazaji wa TV na nilimuona kama bishoo fulani tuu, hivyo alipoteuliwa DC, nilidhani atapeleka ubishoo kwenye UDC.

Tangu ameteuliwa DC, leo ndio kwa mara ya kwanza nimemuona na kumsikiliza anafanya nini Arumeru, kiukweli kabisa this guy is dam good!, ni mbunifu, ni

Wale wenye nafasi angalie TBC saa hii, Jerry yuko hewani anatiririki, kiukweli kabisa I'm very impressed by hisi vision ya Arumeru anayoitaka.

Wakipatikana ma DC kama huyu 10, wakafanywa kuwa ma RC, tutapata kina Antony Mtaka wa kutosha!.

Kwa haya Jerry anayoyafanya Arumeru, kiukweli Mhe. Joshua Nasari, ama aunge mkono Juhudi kwa kujiunga nao, ama atafute shughuli nyingine ya kufanya past 2020.

Paskali
Kipaji?
Cha u-DC! au nalazimika kusomea kozi ya andiko lako!?
 
Kati ya watu ninaowaheshimu kwa uandishi wao mmojawao ni Pascal Mayalla huwa akiandika Uzi wake unajua huyu ni yule nguli wa uandishi anayeheshimika unajua huyu ni akili kubwa sasa Leo sielewi br kakumbwa na nini na huu ni aina ya Uzi wake mbovu toka Jf iundwe hii January titaona mengi au Jerry kaokoa jahazi January hii
 
"Kwa haya Jerry anayoyafanya Arumeru, kiukweli Mhe. Joshua Nasari, ama aunge mkono Juhudi kwa kujiunga nao, ama atafute shughuli nyingine ya kufanya past 2020"...kwani anafanya hiyo ili achukue nafasi ya Nasari ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Niliwahi kufikiria hivi kwamba ameenda pale kwa dhumuni maalum

Hivi pascal mbona hukuwahi kuunga mkono juhudi za Nassary kutatua migogoro hasa maeneo ya Akheri na alifanikiwa vyema?!

Andiko lako Lina kaunafiki
 
Pascal umeanza kuandika post za hiv. Sawa unamkubali, taja basi hata kitu kimoja alichoifanyia Arumeru kilichokufanya umkubali...maana hapa unasema umemkubali kwa jinsi ulivyomtazama TBC!!!!

Pascal leo nakushangaa kidogo, Murro ni mwandishi na wewe ni mwandishi pia sasa kwanini kwanza hujaanza na ku declare interest zako kabla ya kutaka ufikiriwe kama alivyofadhiliwa? Pascal kama umechoka kitaani nyoosha mashairi yako kwa lugha ya nyumbani na itajibu fasta usivyotegemea...mpaka ufundishwe?
 
Wanabodi,

Japo namfahamu Jerry Muro akiwa mtangazaji wa TV na nilimuona kama bishoo fulani tuu, hivyo alipoteuliwa DC, nilidhani atapeleka ubishoo kwenye u-DC kumbe huyu jamaa, Jerry Morro yuko vizuri, ni visionary leader mwenye uwezo, ana vision na mission to accomplish, ameonyesha uwezo, kipaji cha uongozi, na sasa anastahili kuwa RC, na akiwa, atakuwa kama RC Antony Mtaka, ambapo nadhani hawa jamaa watendaji wazuri wote kwenye u DC na u RC, wanastahili kuingia Bungeni kumsaidi rais kwa karibu zaidi ndani ya cabinet ya 2020.

Tangu ameteuliwa DC, leo ndio kwa mara ya kwanza nimemuona na kumsikiliza anafanya nini Arumeru, kiukweli kabisa this guy is dam good!, ni mbunifu, ni mfuatiliaji, ni mtendaji sio tuu ni mtoa maagizo, bali mpima matokeo ya utekelezaji.

Amesema alipofika Arumeru, alikuta kuna tatizo kubwa ardhi, akatolea mfano kuna mgogoro wa kiwanja baina ya wajane wawili wa mume mmoja uliodumu kwa miaka 18 bila mashamba kulimwa, sasa amewapatanisha, wamepatana, wameshikana mikono na kukumbatiana, sasa mgogoro huo umemalizika rasmi na mashamba sasa yanalimwa.

Wale wenye nafasi angalie TBC saa hii, Jerry yuko hewani anatiririki, kiukweli kabisa I'm very impressed by hisi vision ya Arumeru anayoitaka.

Wakipatikana ma DC kama huyu 10, wakafanywa kuwa ma RC, tutapata kina Antony Mtaka wa kutosha!.

Kwa haya Jerry anayoyafanya Arumeru, kiukweli Mhe. Joshua Nasari, ama aunge mkono Juhudi kwa kujiunga nao, ama atafute shughuli nyingine ya kufanya past 2020.

Paskali
PASIKALI KATIKA UBORA WAKO
 
Paskal of the people sikutarajia hili kutoka kwako.

Moja, kill kiongozi kwa maana ya DC au RC wore ukiwasikioiza wanayo mipango, maono na vision jinsi wanavyotaka mkoa au wilay I we lakini wore wanakosa strategies za kuyafikia wanayoyatamani. Lakini pale wanakuwa na strategies zinakosa ushirikishwaji hivyo utekelezaji unakwama.

Mfano mizuri Muangalie Mh. Makonda na suala la usafiri kwa walimu, usafi wa jiji, n.k hakuna ushirikishwaji.

Pili, Mkuu was Wilay au Mkoa Hana fungu lolote wenye mafungu ni wakurugenzi was wilaya. Hivyo Kama mipango yao haiendani na mipango ya ofisi ya mkurugenzi, hizo vision na mission zao zinakuw political statement to hazitafanyiwa kazi. Maana hakutakuwa na bugdet ya utekelezaji.

Hivyo mipango yao maono yao Kama haitakuwa streamlined kwenye budget za serikali ni sure tu. Ataishia kusuhisha wajane, kutatua migogoro ya mipaka ya wanafamilia na sio Jambo la maendeleo kwa wilaya kwa ujumla.

Ushauri: maDC na RC Kwanza washirikishe mfumo was utendaji kazi na kufanya kazi kulingana na mifumo iliyopo ili kuleta maendeleo endelevu lakini pia shirikishi.
Matamko tu hayatoshi na kufanya kazi Kama mtu badala ya taasisi hakutafikisha pale tunapotaka watu wetu wafike.
 
Back
Top Bottom