Akufaae kwa dhiki ndio rafiki wa kweli.
Baada ya matatizo yaliyowakumba ndugu zetu wa Hanang tumeona CHADEMA wakitumia muda mwingi kuishambulia na kuikosoa serikali namna inavyodili na crisis ya...
Anaandika Jokate kupitia twitter.
"UWT kwa kutambua waathirika wakubwa wa majanga kama haya ni akina mama na watoto, leo tumefanya kikao cha dharula na kuanza zoezi la kutafuta vifaa vya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki ufunguzi wa Jukwaa la 21 la Doha (Doha Forum) akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua.
Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri...
Katika kitu cha kijinga kinachofanywa na watu wa siasa za upinzani na kuzifanya tetesi za kifo za kiongozi fulani au kifo cha kiongozi fulani kuwa siasa zao na kampeni zao.
Unamkuta mtu...
Hali ya uchumi kidogo siyo nzuri, miradi mikubwa imesimama na baadhi imeenda beyond time kwa sababu hakuna fedha.
Speed ya ujenzi wa miundombinu mfano barabara imeshuka sana; mfano taarifa...
Nimefuatilia maelezo ya waziri na maafisa wengine wa wizara kuhusu mabadiliko ya mitaala ya elimu sijaona jipya zaidi ya ubabaishaji tu na kupiga posho kupitia semina uchwara.
Hakuna changamoto...
Wanabodi,
Nimemsikiliza, Mhe. Zitto Zuberi Kabwe akihojiwa kwenye kipindi cha Mikasi!, (japo kipindi hakikuwa na maswali magumu kivile!, ile hiki ndicho Watanzania wanachokihitaji, vipindi vya...
Haraka haraka na kwa ufupi sana,
April 26 mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar walifunga ndoa kisheria na kila April 26 ni anniversary ya Tanganyika na Zanzibar,hapa tunakubaliana wote...
Salaam wana JF,
Niende direct kwenye point. Tanzania imepeleka watu 736 katika mkutano wa mabadiliko tabia ya nchi huko Dubai #Cop28
Msafara ambao unajumiasha...
Vitabu vyote vya dini vinatamka wazi kabisa kuwa anayetakiwa kuabudiwa, kutukuzwa na kusifiwa ni Mungu pekee yake. Biblia inaongeza kwa kusema, amelainiwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, na...
Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma.
Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa...
Namsikiliza Rais Samia akijiandaa kupokea misaada ya waathirika wa mafuriko ya Hanang. Kwa namna anavyoongea, kweli yeye ni "Comforter in Chief".
Yule mwendazake kwenye tukio la earthquake ya...
Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali ikikosa ushauri mzuri ama ikipuuza nchi itakwenda pasipostahili.
Kikwete ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Novemba 22, 2023 alipokuwa...
Watanzania wajiandae kuanza kununua magari mapya baada ya serikali kukamilisha kuandaa sera mpya ambayo itapiga marufuku Watanzania kununua magari yaliyotumika.
Sera hii mpya inaungwa mkono na...
Tundu Lissu kupitia akaunti binafsi ya mtandao wa X ameandika,
'Hivi Serikali hii ilijifunza chochote juu ya kifo cha Magufuli mwaka juzi? Kifo au ugonjwa wa kiongozi mkuu wa nchi havifichiki...
Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa KM 41 Wilayani Kigamboni, Dar es salaam.
Waziri...
TAFAKURI YANGU KATIKA SIKU HII YA KUADHIMISHA MIAKA 62 YA UHURU
Anaandika Mwalimu Zuberi Kimaro wa Kyeer, Machame
Kwanza Hongera sana kwako Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, kwako nimeridhika 100%...