Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni kwa sababu mtu aliyewasingizia bila ushahidi amepewa Cheo ndani ya Chama na hajawahi kuomba radhi kwa uongo wake huo . Taarifa zaidi zinadokeza kwamba watakaojiuzulu wanatoka ndani ya...
30 Reactions
110 Replies
9K Views
Ningetaka kuandika kwa kirefu sana kuelezea jambo ambalo labda kwa kifupi lingetosha kuelezewa. Sijaelewa kwanini hadi leo hii masaa zaidi ya 24 tangu Jaji Manento atoe muhtasari wa ripoti yake ya...
38 Reactions
118 Replies
10K Views
Sikumbuki mwaka ila nakumbuka nilikuwa mdogo ,tulitoka na mzee wangu mitaa ya kariakoo tukaelekea mitaa ya Magomeni Mapipa mtaa sikumbuki ila ni karibu na Shibam. Kufika pale kulikuwa na vijana...
27 Reactions
59 Replies
6K Views
Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan "Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Nchi hii imezoea kutoa taarifa za masifa na majidai tuu,lakini habari kama hii ya tahadhari ya Worid Bank kuhusu mipango mibovu ya uchumi ya nchi yetu inayopelekea umasikini kwa raia sio Waziri...
9 Reactions
54 Replies
4K Views
Salaam, Shalom!! Mwalimu Nyerere alipotuambia KILIMO ni UTI wa mgongo, alionyesha Kwa vitendo Kwa kuwachukua watoto wake kina madaraka , na ndugu na kwenda nao shambani. Uongozi ni vitendo Si...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Tuache unafiki kama nchi something has to be done kukomboa hii jamii. Kati ya malengo makuu ya Elimu ni kufanya mhusika kujiamini na kuyakabiri mazingira anayoishi. Jamii yetu kwa miaka ya hivi...
3 Reactions
10 Replies
900 Views
Salaam kwenu nyote. Tujiulize haya maswali na unaweza kuongeza ya kwako. Maswali haya yanahoji uwezo wa CCM kutuvusha kama nchi kuelekea maendeleo mtambuka. KATIBA MPYA: Serikali imepora...
2 Reactions
5 Replies
515 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kitu Rais Samia na Serikali yake amefanikiwa kuwapatia zawadi na kukonga nyoyo za mamilioni ya watanzania na kuondoa manung'uniko kwa watu, ni kile kitendo na...
4 Reactions
90 Replies
3K Views
Balozi wa Tanzania nchini Cuba Mh Polepole akizungumza mkoani Pwani kwenye kiwanda cha kutengeneza dawa ya kuuwa mbu amesikitishwa kukuta kiwanda hicho kimekosa soko baada ya wizara ya afya na...
11 Reactions
86 Replies
6K Views
Waliokuwa wakubwa kwenye utawala wa Jakaya Kikwete watakumbuka jinsi aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya nishati ya madini enzi hizo bwana Eliakim Maswi alivyong'olewa kwenye nafasi yake baada ya...
7 Reactions
57 Replies
5K Views
Tuacha kutumia lugha za ajabu ajabu za watu wenye akili ndogo kuwaleza viongozi au watawala wetu. Mfano hizi lugha subjective ambazo ni za hisia zaidi za kiongozi fulani ni mkali, mpole...
1 Reactions
3 Replies
319 Views
JK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi...
25 Reactions
142 Replies
8K Views
Ni Wakati sasa Wananchi kama Wananchi kujianzishia mchakato Wao wa Kupata Katiba mpya Wanasiasa wameshapewa haja ya mioyo yao ambapo sheria zao za Uchaguzi watarekebishiwa kwenye Vikao Vya bunge...
3 Reactions
11 Replies
648 Views
Vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi wa mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu 2025 tembeeni na agenda hizi tano(5) kama kipaumbele. 1. Hali ya Kodi/tozo na mahusiano yake kwa gharama za maisha...
4 Reactions
14 Replies
915 Views
Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Akiwashukuru viongozi waliohudhuria katika tukio la usiku wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM KALIUA) na akitoa pongezi nyingi kwa DC wa Kaliua Dtk. Rashid Chuachua na Mwenyekiti...
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Mkuu wa mkoa ataka madanguro yawe yenye hadhi na staha badala ya vile vibanda uchochoroni [https://m.youtube.com/watch?v=-L8fJk4mSTk Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam pia azungumzia suala la demand...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya...
25 Reactions
337 Replies
38K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Maryam Ahmed Muhaji kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…