Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,432
- 4,222
Tuache unafiki kama nchi something has to be done kukomboa hii jamii. Kati ya malengo makuu ya Elimu ni kufanya mhusika kujiamini na kuyakabiri mazingira anayoishi.
Jamii yetu kwa miaka ya hivi karibuni imeonyesha kwa kiwango kikubwa wasomi wake kupoteza mwelekeo kutokana na neno uchawa.
Haina mantiki kiongozi kwa mfano unakutana na Wamiliki wa baa lakini kusifia Rais inakuwa moja ya main agenda na mifano mingi tu.
Vijana wengi hawaamini katika kujibidiisha na kufanikiwa bila kuwaimbia mapambio wenye nafasi. Vijana wa kitanzania wamefanywa waoga wa kupindukia wakiamini ili kufanikiwa ni lazima kuwasifia wakubwa.
Wizara ya elimu iwajibike kutafsiri malengo ya elimu kwani ki ukweli watu wetu wamekosa confidence ya kuyakabiri maisha ambalo binafsi naona ni janga kwa Taifa letu.