Chalamila amefikia mwisho wa kufikiri: Eti Watanzania wahame Dar es Salaam yenye matatizo

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,327
24,209
Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.

Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.

Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona foleni kimbia, ukiona huna maji, kimbia...!

Najiuliza, je haya ni mawazo ya kiongozi aliyepikika kuongoza wananchi?

Je sera za CCM zinasema mtanzania akiona tatizo mahali, asilitatue badala yake akimbie kwenda kijijini?
Na kijiji, wenye matatizo wakimbilie wapi?

CCM na serikali wakiendeleza viongozi wasio na vision, Tanzania inaelekea shimoni.
 
Hii nchi tutaona mengi, MWINGINE alituambia tuhame nchi twende Burundi, huyu leo anatufukuza dar twende kijijini, bado mnaona hii nchi yenu??? Ya wachache wenye mamlaka
 
Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.

Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.

Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona foleni kimbia, ukiona huna maji, kimbia...!

Najiuliza, je haya ni mawazo ya kiongozi aliyepikika kuongoza wananchi?

Je sera za CCM zinasema mtanzania akiona tatizo mahali, asilitatue badala yake akimbie kwenda kijijini?
Na kijiji, wenye matatizo wakimbilie wapi?

CCM na serikali wakiendeleza viongozi wasio na vision, Tanzania inaelekea shimoni.
Hao ndiyo washauri wa Rais
 
Huyo ndo turufu ya CCM mkoa wa Dar
 
Muhame shida nini mtu mjin panakushinda bado mnang'ang a hebu hamen muwaachie wenye uwezo napo kaz kujaza folen tu na kufanya mji uwe hewa chafu
 
Kam kuna mtu ambaye bado ana matumaini na Ccm kwamba italeta Viongozi bora, Wachapakazi na watakaosaidiana na wananchi ili kuiletea nchi maendeleo ya kweli yaliyo endelevu, basi mtu huyo atakuwa ana matatizo kwenye akili yake. Kama chama hicho kimeshindwa kuiletea nchi Maendeleo wakati kilipokuwa na umri wa ujana, Je, kitaweza kuleta maendeleo sasa hivi wakati kikiwa na umri wa uzee?
 
Ni lazima tuseme, Mkuu wa Mkoa wa DAR ndugu Albert Chalamila amefikia mwisho wake wa kufikiri.

Kauli yake ya jana, ati watanzania waoona Dar, jiji la changamoto nyingi, wahame Jiji kama changamoto hizo zinawakera hao wananchi.

Anazidi kusema ukiona joto kali, hama jiji, nenda kijijini, ukiona foleni kimbia, ukiona huna maji, kimbia...!

Najiuliza, je haya ni mawazo ya kiongozi aliyepikika kuongoza wananchi?

Je sera za CCM zinasema mtanzania akiona tatizo mahali, asilitatue badala yake akimbie kwenda kijijini?
Na kijiji, wenye matatizo wakimbilie wapi?

CCM na serikali wakiendeleza viongozi wasio na vision, Tanzania inaelekea shimoni.
Safari hii anayemleteaga bange naona kamix na kitu sio bure.
 
Muhame shida nini mtu mjin panakushinda bado mnang'ang a hebu hamen muwaachie wenye uwezo napo kaz kujaza folen tu na kufanya mji uwe hewa chafu
Ametukuta hapa...anakuja mjini sisi tunamuangalua tu....ataondoka yeye atatuacha sie.........Ditopile aliwaambia watu design hii tongotongo zikushawatoka ndio wanakuwa hivyo......
 
Back
Top Bottom