Umoja wa Mataifa wasikitishwa na Taarifa za IDF kuwachinja Wapalestina mbele ya Familia zao!

Mbona hata wewe hukuwakemea Hamas?

Umoja wa Mataifa unasema unasikitishwa na taarifa, hawana ushahidi kama ule wa Hamas kuwachinja watu na kuwarekodi, kisha kuzitumia familia zao kwa WhatsApp.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Wanachofanya Israel ni kujenga hofu kubwa ndani ya Palestina nzima na ni jambo zuri Kwa usalama wa Israel, wanapalestina watiwe hofu kwanza na hofu hiyo itatengeneza amani ya kudumu Kwa sababu mwenye hofu hawezi kuanzisha chokochoko
 
Duh
 
Hii ndiyo style ya CCM kwa Watanzania .....!!
 
Wanachofanya Israel ni kujenga hofu kubwa ndani ya Palestina nzima na ni jambo zuri Kwa usalama wa Israel, wanapalestina watiwe hofu kwanza na hofu hiyo itatengeneza amani ya kudumu Kwa sababu mwenye hofu hawezi kuanzisha chokochoko
Sasa huo ndio ugaidi wa wazi kabisa!
 
Umoja wa Mataifa umesema unasikitishwa na Taarifa za Vitendo Vya Jeshi la Israel kuwaua Wapalestina inaowakamata mbele ya Familia zao

Source Al jazeera news

My take ; Mbona UN hawawakemei Hamas kwa kumuuwa Joshua Mollel wa Tanzania
Al Jazeera waongo wako biased sana.
 
Back
Top Bottom