CCM Chipukizi ni Industry ya kuzalisha Chawa, na Vijana wa Kijkomba

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,704
6,501
Nakumbuka mwanzo wa utawala wake Magu alitishiaga kufuta hiki kinacho itwa Chipukizu ili watoto wajikite kwenye kusoma waje walisaidie Taifa.Sijui kwanini alighaili ila alikuwa sahihi kabisa.

Hawa Chupukizi ndio kiwanda cha kuzalisha Chawa, vijana wa kujikomba komba kwa watawala, hawa watakuwa wakitegemea vyeo, hakuna tena kutumia akili, hapa ni kusubilia vyeo. ya kuja kupewa baadae huko,inaumiza sana badala ya kutengeneza kizazi cha kuja kulipigania Taifa tunatengeneza kizazi cha kujikomba komba na huu ujinga uko Tanzania pekee yake.

Hakuna Taifa utakuta wanahangaika na huu ujinga wa kuanza ku inject uchawa ndani ya watoto wadogo, watoto sasa wanaacha ku kuncetrate na elimu wanaanza kuwaza kujikomba.Hata nchi zenye mfumo wa kikomonist kama China hawana huu ujinga, China wanaandaa watoto wao waje kulipigania Taifa kwenye nyanja za sayansi.

CCM inapenda kuona kunaendelea kuwepo vizazi vya wapumbavu wasio hoji chochote wanao waza matumbo na kujipendekeza kwa wanasiasa.
 
Kaburu Botha kasha wahi sema "mwafrika hawezi kujitawala"

Ukiangalia yanayo endelea kwenye taifa letu yaliwahi tokea miaka ya nyuma uko Japan,lakini alipo kuja emperor Meiji aliwaonesha Samurai kazi ya ajabu.
 
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Serikali ipi..halafu ukisema serikali fafanua, sababu maana sahihi ya serikali ni watu wa nchi fulani kwa ujumla wao..sema mambo ya genge la wanaccm, wengi hatukubaliani na jambo hili, huwezi kufundisha watoto kubaguana kwa misingi ya vyama na itikadi wakiwa na umri huu, under 18 wote ziko sheria kimataifa zinawalinda..sheria za ajira, mambo ya child labour hayarusiwi, unapofanyisha watoto uchaguzi ambao wanaochaguliwa watawatumikia wenzao hata kwa kuwalipa posho, hiyo ni child labour..mtoto kama ana kipaji cha uongozi muundo wa elimu yetu unatoa nafasi kwa mtoto kuonyesha kipaji chake tangu shule ya msingi, atakuwa kiranja wa usafi au hata kiranja mkuu hivyo hivyo na sekondari hadi chuo...
Unapofanya hivi wanvyofanya ccm lengo kuu hasa ni NINI??? kwa nini sheria zimekataza siasa vyuoni halafu unafanyisha watoto siasa shuleni??? vipi kama vyama vyote vifanye kama ccm wanavyofanya, itakuwaje..ni sehemu gani nyingine hata hapa africa mashariki nchi kupitia vyama vyao wanafanya hivi?? huu ni UPUMBAVU, and they have to stop it!
 
Back
Top Bottom