1980s Watoto wa Viongozi walitamani kuishi Ulaya na Marekani akina Le mutuz rip, siku Hizi wanapenda kuishi CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,112
Usidhani zamani Watoto wa Viongozi walikuwa wanapelekwa Ulaya na baba zao, la hasha walichonga mipango wenyewe wanaondoka

Siku Hizi Watoto wa Viongozi wanafanyiwa connection waingie CCM

Nakumbuka mtoto Mmoja wa Waziri baada ya kuona Watoto wote wa jirani yao pale Upanga aliyekuwa afisa wa Juu wa Polisi Mzee Mwaitenda wametimkia Marekani yeye akajiongeza na kuzamia Meli alizunguka Huko duniani Mwisho akajikuta Marekani na washikaji zake

Zamani Siasa ilionekana ni Ushamba fulani hivi hasa hapa DSM kwenye fursa kibao
 
Mpaka ilipofika 1995 ambapo mzee Mkapa akaingia na mfumo wa kulipa wanasiasa pesa nyingi kuliko mahitaji yao

Mzee Mkapa ndio aliondoa wabunge kutoka usafiri wa mabasi ya Bunge na kuwapa mashangingi (hili neno shangingi vijana wadogo sana itabidi warejee kamusi)
 
Upo sahihi kwa sasa siasa hapa bongo inalipa na pale CCM ni njia kurahisisha dili zao.

Kwa kweli ukiwa na mpunga kuishi bongo ni vizuri sana hata uko ulaya unaona sawa ,kwa sababu ukitaka unapanda mwewe unatumia pesa na kurudi .

Bongo fursa nyingi haswa biashara mawili uwe kibaraka wa CCM au mshirikina ndio utatoboa haraka
 
Usidhani zamani Watoto wa Viongozi walikuwa wanapelekwa Ulaya na baba zao, la hasha walichonga mipango wenyewe wanaondoka

Siku Hizi Watoto wa Viongozi wanafanyiwa connection waingie CCM

Nakumbuka mtoto Mmoja wa Waziri baada ya kuona Watoto wote wa jirani yao pale Upanga aliyekuwa afisa wa Juu wa Polisi Mzee Mwaitenda wametimkia Marekani yeye akajiongeza na kuzamia Meli alizunguka Huko duniani Mwisho akajikuta Marekani na washikaji zake

Zamani Siasa ilionekana ni Ushamba fulani hivi hasa hapa DSM kwenye fursa kibao
Zama zimebadilika
 
Wanakwenda kulinda mali za baba zao walizokwapua!
 
Umeona list ya watoto viongozi chipukizi?well played players mmemtanguliza mtoto wa shetta mbele pale ila we know whatchu doing,and it ain't fair.
 
Back
Top Bottom