Tanzania yaipa pole Kuwait kufuatia kifo cha Amir wa Kuwait

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali J. Mwadini, tarehe 20 Disemba, 2023 amesaini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Kuwait mjini Paris kufuatia kifo cha Amir wa Kuwait, Sheikh Nawaf al-Ahmad Al-Sabah.


20231221_065243.jpg
 
Mzee wa kuzibua mitaro karejea Kwa shetani kuendelea na uzibuzi wa namna nyingine bila kusahau wale ma'bikra 72
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom