Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

ruukada

Member
Feb 24, 2014
67
117
Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao.

Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri mpya bwana Dotto.

Hii si sawa.
 
NCHI ambayo inaelewa imuhimu wa umeme nyakati za Usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao.

Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. USIKJ UMEME UNATUMIKA sana kwa ajili ya ulinzi nj kimaanisha taa, alarm na mawasiliano.

Lakinj TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri mpya bwana Dotto.

Hii si sawa
Nani ana jali usalama wako?!!
 
Ngoja aliyekuwa boss wa REA aripoti ofsini,huu ufala hutousikia Tena mkuu.
 
Back
Top Bottom