Chadema Jifunzeni Kuandaa Viongozi Wangali Wachanga Kama CCM

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,812
Habari kubwa Leo ni uchaguzi wa Chipukizi wa CCM ambao ndio Viongozi wa kesho.

CCM wanawaandaa viongozi wao na WA Tanzania ya kesho Wangali Wachanga,wakaanza kukomazwa mapema sana.

Chadema Sasa wako kama kokolo Kila mlevi,mvuta bangi,asiye na Maadili kama Gekul,Mdude,Lisu mropokaji nk wanaokotezwa Kila mmja na alikokuwa.

Mambo kama haya ndio yanafanya msiamoniwe na Watanzania mnaishia kulalamika na Kugombea Nchi ipate majanga mkidhani mnawakomoa CCM.

My Take
Hongera ccm mnaonyesha kuwa ni chama Kiongozi na chama makini.

Rais Samia hakuokotezwa kama Chadema walivyookoyeza Mwenyekiti wao.

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1737630401277931634?t=-PFXNdqbP62at7qpvDcrZw&s=19
 
Wata waandalia wapi, chama mboga mboga kimekita mizizi mpaka shule za upili.

Huwezi kuwa raisi wa chuo chochote tz kama wewe sio kada wa chama kijani.
 
Hivi kusema 'Gloves off' kwa kichagga ndio unasemaje?

Manake hii ndivyo inavyoelekea kuwa kuelekea 2025...."" kwa kichagga

...hata ukitaka kutafsiri kwa kinyakyusa tafsiri tu halafu ubandike

ChoisiVariebo vesesi Mdude seven by seventi nyagali chadema wakutana, sasa.......""
 
Habari kubwa Leo ni uchaguzi wa Chipukizi wa CCM ambao ndio Viongozi wa kesho.

CCM wanawaandaa viongozi wao na WA Tanzania ya kesho Wangali Wachanga,wakaanza kukomazwa mapema sana.

Chadema Sasa wako kama kokolo Kila mlevi,mvuta bangi,asiye na Maadili kama Gekul,Mdude,Lisu mropokaji nk wanaokotezwa Kila mmja na alikokuwa.

Mambo kama haya ndio yanafanya msiamoniwe na Watanzania mnaishia kulalamika na Kugombea Nchi ipate majanga mkidhani mnawakomoa CCM.

My Take
Hongera ccm mnaonyesha kuwa ni chama Kiongozi na chama makini.

Rais Samia hakuokotezwa kama Chadema walivyookoyeza Mwenyekiti wao.
CHADEMA sifa kuu kujua kutukana, kutoa povu, uzushi, uchochezi, upotoshaji. Hv km Lema ni kiongozi wa kànda bado unategemea nini hapo.
 
Back
Top Bottom