Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Toka baada ya uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania na Afrika imekuwa zinapata aibu kutokana na Njaa. Njaa inadhalilisha utu wa mtu na kushusha heshima ya mtu na Taifa.Tanzania na Afrika...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Leo 17:55hrs 06/09/2020 Wazungu walituletea Nuclear weapon ikaua wajapan kule Hiroshima na Nagasaki, Majiji Makubwa mfano wa Tokyo, Majiji ya Hiroshima na Nagasaki yaliteketea ndani ya dakika...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanajamvi shalom!. Nakubali Nina kadi ya CCM, lakini sitaitendea haki roho na nafsi yangu nikikubaliana na ukengeufu unaoendelea ndani ya chama hiki. Badala ya kushughulika na ukosefu wa umeme...
4 Reactions
13 Replies
826 Views
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri...
7 Reactions
92 Replies
5K Views
Mama yao aliwaambia wale kwa urefu wa kamba zao, pia wale lakini wasivimbiwe. Huku yeye akiifungua nchi kwa kuzurura uarabuni kutafuta wajomba wa kuwakabidhi rasilimali za nyikani. Wana nyika...
3 Reactions
11 Replies
576 Views
Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na...
1 Reactions
7 Replies
849 Views
Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo...
17 Reactions
117 Replies
5K Views
Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu. Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi Na ipi...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa wakazi ama wanaopafahamu Tabora mjini, ukiwa unaelekea Isevya kutokea mjini kati, kabla ya Checkline ya Reli, upande wa kulia kuna 'yadi' kubwa ya malori ya kampuni ya Athwaal Transport...
1 Reactions
2 Replies
837 Views
Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana. - Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Hakika nimeupenda utaratibu wa CCM kuwa na Jumuia ya CHIPUKIZI ktk Chama chao.Jumuia ya Chipukizi ndio UVCCM ya Kesho. USHAURI kwa CHADEMA Chama Kikuu cha UPINZANI TANZANIA ni vema nao Wakaanzisha...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023...
5 Reactions
67 Replies
10K Views
Halo JF members. Kuna video inamuonesha Rais Magufuli amevaa kombati za jeshi akipigiwa saluti na maafisa wa jeshi huku wakimpa mikono kama ishara ya salamu kwa Amiri Jeshi Mkuu. Inaonekana...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
1. Kuachana rasmi na uwekezaji wa umeme wa Maji. Mipango yote ya umeme sasa ielekezwe kwenye gesi, nuclear, solar, geothermal, upepo n.k Umeme wa maji kutegemea mvua ni kijima na uliopitwa na...
2 Reactions
16 Replies
626 Views
Salaam, Shalom!!! Hii ni dira muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Katibu MKUU wa Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, ndugu John Mnyika amefanya Press Conference na vyombo...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kumaliza...
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
3 Reactions
7 Replies
681 Views
Benki ya Dunia imesema licha ya Ukuaji mzuri wa Uchumi wa Tanzania wa wastani wa Asilimia 5-7% Kwa miaka 20 Iliyopita umeshindwa kupunguza umaskini na idadi ya maskini Nchini Kwa kiwango...
2 Reactions
5 Replies
737 Views
Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu Watanzania mnaowaambia walipe BIMA ya afya shilingi 488,000 kwa baba na mama, 120,000 kwa kila mtoto, na kama wanaishi na wazee wao, basi Kila mmoja wawalipie...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…