Taasisi Ipi ya Serikali Imefanya Vizuri Zaidi na Ipi Imefanya Vibaya Zaidi Mwaka 2023

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu.
Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi

Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote.

Tufunguke hapa
 
Sasa wewe unautani na TANESCO 😁😁. Jana Makonda kawauliza kama ikisema wapigiwe kura watapata asilimia ngapi?
 
Mwaka 2023 ndio hivyo unazidi kuyoyoma taratibu.
Kwa maoni yako, mwaka huu 2023 ni taasisi ipi ya Serikali imefanya kazi inayostahili pongezi, kwa maana kuwa imefanya vizuri zaidi

Na ipi imefanya vibaya zaidi ya nyingine zote.

Tufunguke hapa
Wizara ya Afya, Maji, TANESCO zimefanya vibaya sn
 
Taasisi ya umma ambayo Iko vizuri mno na inayojali vizuri wateja wa Rika zote vijana,watu wazima na vikongwe wastaafu ni Benki ya Tanzania Commercial Bank pekee

Hiyo kujali makundi hayo imevunja rekodi hakuna Benki iwe ya ndani au nje inawakuta kwenye hilo
 
Back
Top Bottom