Siku 100 za Jerry Silaa, huja zikamgeukia yeye

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,883
Reaction score
5,270
Kwa wakazi ama wanaopafahamu Tabora mjini, ukiwa unaelekea Isevya kutokea mjini kati, kabla ya Checkline ya Reli, upande wa kulia kuna 'yadi' kubwa ya malori ya kampuni ya Athwaal Transport maarufu kama Singa. Eneo hili ni la wazi. Mmoja ya watu 'walioishika' serikali, toka enzi za JK ni huyu singa. Huyu ni mfano wa mamia wa vigogo waliohodhi maeneo ya wazi nchi.

Nimepita eneo hilo nikawaza agizo la Waziri Silaa kuwataka watu kama Singa warudishe maeneo hayo.

Binafsi sina shaka na uadilifu wa Silaa na nia yake ya dhati. Ila kwa utawala huu ambao vigogo 'wameitia' serikali hii mfukoni, Maagizo haya ya Silaa kwa hakika yataishia hewani tu na huja hatomaliza siku hizo 100 akiwa Waziri wa Ardhi. Muda ni muamuzi sahihi.
 
Wote ni wanaccm hakiharibiki kitu hapo!!
 
Mawaziri wenzake wote walotangulia wameshindwa kufanikisha suala hili, Je, ataweza yeye??
 
Back
Top Bottom