Viongozi wote wa Vyama Vya Siasa ni Wafanyabiashara Wakubwa Kasoro Tundu Lisu na Mdude tu!

Kwa anaeelewa sera na siasa za mdude anaupungufu wa akili kichwani.

Anachofanya mdude sio siasa wala uwanaharakati. Bali ni mtu mjeuri anayetumia platform ya siasa kueneza ujeuri.

Uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo sana. Matamko yake mengi ni kubishia jambo kwa vurugu bila kuleta hoja za maana.
 
Mdude anauza chaja za simu, pia anauza kitabu chake, mpaka sasa ameshauza nakala kumi za kitabu hicho tangu akizindue miaka miwili iliyopita
Kwa uandishi niliouna kwenye uzi wake wa mnyarwanda aliekua nae selo, hiki kitabu kitakuwa kichekesho. Mh Dr. Mdude uandishi wake hauendani na jina lake
 
Back
Top Bottom