Wabunge wakatwe mshahara, pesa zitakazopatikana zitumike kulipa mishahara ya vijana watakaoajariwa?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,484
2,364
Wabunge wetu Bunge la Muungano wanapokea Msh.wa Sh.Mil.16,000,000/= kwa mwezi. Tuna wabunge 400 na jumla ya Mishahara yao kwa Mwezi ni Tsh Bil.6,400,000,000/=

Endapo Kila mbunge atakubaki kukatwa sh.1,250,000/= kila mwezi kutoka ktk Mshahara wake jumla ya Sh. Mil 500,000,000/= zitapatikana Fedha ambazo zitatumika kuwaajiri Vijana wetu 500 kwa Mshahara wa Sh.1,000,000/= Kwa Makato hayo ya Mishahara Wabunge wetu watapokea Mshahara wa Sh.Mil. 14,500,000/= kwa Mwezi Mshahara ambao bado ni Mkubwa sana.

USHAURI kwa WABUNGE
Hebu kuweni Wazalendo kwa Vijana wenu wanaohangaika kupata Ajira kubalini kupunguza Mishahara yenu kwa kiwango hicho mtakuwa mmeisaidia Serikali Mzigo wa Ajira kwa Vijana na pia mtakuwa mmeonyesha Uzalendo kwa Wananchi wenu.
 
Wao wanataka waongezwe make wanapata hela kidogo sana wewe unasema wakatwe!
 
Back
Top Bottom