Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,398
- 3,907
Serikali na Chama wakiwa wanajua Hali halisi ya ugumu wa maisha wanaopitia watanzania kiuchumi wanajitokeza matapeli mfano wa choice variable na Lucas Mwashambwa kwa makusudi au kwa kutumwa na mafisadi na kuamua kuleta uongo wa kiwango cha Hali ya juu kwa Hali inavyoendelea? kwani nani hajui kuwa Kuna matatizo lukuki yanayoikumba nchi yetu tena yasipodhibitiwa mapema yatasababisha changamoto kubwa ya kiuchumi kwa mfano
kukatikakatika ovyo ovyo kwa umeme Tanzania imekuw kawaida kwa sababu umeme ni nishati muhimu na ya lazima inayohitajika mahospitlini, viwandani na kwenye shughuli kama kutotolesha mayai kwa kutumia incubator nk
Shughuli nyingi za kiuchumi zimeathiriwa Sana na kukatika katika hovyo kwa umeme hii Hali imearhiri mzunguko wa fedha na kuua uchumi jumuishi
Kupanda kwa nishati ya mafuta ya aina zote kumefanya multiplying effect ya kupandisha kila aina ya bidhaaa serikali ingetoka hadharani kuelezea mchakato mzima wa uagizwaji na usambazwaji wa mafuta kwani mchakato mzima umegubukwa na usiri wa Hali ya juu nina uhakika serikali ingekuwa serious ilitakiwa kuregulate bei ya mafuta kuw chini ya 2500 ikiwezekana kutoa baadhi ya kodi na kuleta subsidies
Serikali iachane na hawa mercenaries keyboard wanaosifia ujinga bali ipambane na uhalisia kuwa imesababisha ugumu wa Hali ya juu Sana kwa watanzania kwa mfano ukopaji holela unachagizwa na Rushwa iliyotamalaki kila pahala kila kinachokopwa hakifanyi kazi tarajiwa kinapigwa juujuu yaaani ufisadi na wizi wa kutisha
Hussein Bashe aachane Mara moja na project anayofanya kwani hii project ya BBT haina manufaa kabisa bali umekuwa mchongo wa kuwanufaisha walewale wenye uwezo yeye atengeneze mfumo kwa mfano kupunguza bei za pembejeo na kurudisha somo la kilomo mashuleni na pia serikali isamehe kodi vifaa vya kilimo kama matrekta water pumps ili watu wengi zaidi washawishike kwenye kilimo ahakikishe Banking system zinaanzisha kwa kasi matawi yake kwenye mashamba zitengeneze miundombinu ya umwagilialiaji yaaani strategic irrigation schemes kila wilaya na zikopeshe wakulima maji na pembejeo na utengenezwe mfumo wa mpaka soko na mazao yanayolimwa yauzike ili mkulima awe na uhakika wa soko na kuvuna na Bank zitatengeneza automated system ya kukata mikopo yao juu kwa juu