Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,396
3,901
Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia

Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
 
watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia

mfano ety unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa
Mzoeee hatokupa tabu vizuri samia anaujua ukweli!
 
Haya kama mwanzilishi ni magufuli kamwite aje kumalizia sasa. Magufuli na samia ni kitu kimoja kelele ya nini mnagombania kuwa machawa?
 
Choice variable Ni komandoo wa data na facts tu.ngoja aje hapa akushushie NONDO zenye ushahidi.maana inaonekana wewe kuna kitu au jambo limekuvuruga akili yako . Huwezi vita unayotaka kuipigana maana wewe bado mchanga sana kupigana vita yoyote ile.
wewe ni mnafiki vilevile data gani za kukopi na kupaste wanafiki nyie maadui wa watanzania mnakifanyq hamnazo mnajifanya mnaishi Ulaya hamuoni shida taabu na mateso wanayopitia bibi na babu zenu mnaangalia matumbo yenu nyie ombaomba mliolaaniwa kwa kuandika uongo na kujipendekeza kwa uongo mtafufa vibaya sana nyie wanafiki
 
Hawa wapumbavu ndiyo wanashida kubwa haswa kuliko hata sisi
 
watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia

mfano ety unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa
Kama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure 😁😁😁

Mazuri yapi ya awamu ya 5 nimsingizie Samia Ili iwaje?

Samia ana miradi chungu mzima na anafanya na ya awamu ya 5.

Kwani nyie Mashabiki wa Mwendazake Kwa nini hamkumaliza miradi yenu? Mlisubiria Samia au? Au mlihitaji miaka mingapi Ili kukamilisha miradi?

Mwisho usipende kumlinganisha Samia na vitu vya ajabu ajabu
 
wewe uelewa wako haufiki hata kwenye sole ya kiatu changu akili zako umezificha makalioni ni tapeli mzoefu mimi niko hapa Mwanza hakuna mradi mpya hata mmoja ulioanzishwa na Samia nasisitiza haupo
 
Back
Top Bottom