Kama bandari kapewa dp world ili ifanye kazi kwa ufanisi tanesco nayo apewe huyo huyo dp world na bunge liunge mkono

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,037
Wadau BANDARI yetu ilisemekana haifanyi kazi kwa UFANISI na kusababisha Upotevu Mkubwa wa MAPATO.Ili kuifanya Bandari ifanye kazi kwa ufanisi na kukusanya Mapato zaidi ikakabidhiwa kwa Kampuni ya DP WORLD ya DUBAI licha ya Wenye Nchi yao kupinga lakini wenye Maamuzi likiwemo BUNGE halikujali nini Wanasema Wapiga kura wao.

Sasa kuna Shirika linaitwa TANESCO.Shirika hili halina tofauti na BANDARI kwani Ufanisi wake ktk Kutoa Huduma ya Umeme imekuwa ya KUUNGA UNGA na kusababisha mdororo wa Uchumi kwa Watumiaji wa huduma hiyo.Cha kushangaza BUNGE lipo KIMYA Kama vile halioni Kama lilivyoona kwenye suala la BANDARI.

Kwa kuwa Kampuni ya DP WORLD ya DUNIA ilipigiwa Upatu kuwa ni Kampuni BORA basi Utaratibu uliotumika Kuwapa DP WORLD ya DUBAI ile BANDARI utumike pia Kuwapa TANESCO na BUNGE lilipite Azimio la KUKUBALI ili Tuondokane na hii SHIDA ya Umeme.Nina Hakika DP WORLD ya DUBAI itaifanya TANESCO ifanye kazi zake kwa Ufanisi.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wakishapewa Tanesco, pia wapewe idara za maji zote za mijini na vijijini nchi nzima kama nyongeza.
Baada ya hapo wapewe na hospitali/zahanati/vituo vya afya vyote nchi nzima kama bonus.
 
Wadau BANDARI yetu ilisemekana haifanyi kazi kwa UFANISI na kusababisha Upotevu Mkubwa wa MAPATO.Ili kuifanya Bandari ifanye kazi kwa ufanisi na kukusanya Mapato zaidi ikakabidhiwa kwa Kampuni ya DP WORLD ya DUBAI licha ya Wenye Nchi yao kupinga lakini wenye Maamuzi likiwemo BUNGE halikujali nini Wanasema Wapiga kura wao.
Sasa kuna Shirika linaitwa TANESCO.Shirika hili halina tofauti na BANDARI kwani Ufanisi wake ktk Kutoa Huduma ya Umeme imekuwa ya KUUNGA UNGA na kusababisha mdororo wa Uchumi kwa Watumiaji wa huduma hiyo.Cha kushangaza BUNGE lipo KIMYA Kama vile halioni Kama lilivyoona kwenye suala la BANDARI.
Kwa kuwa Kampuni ya DP WORLD ya DUNIA ilipigiwa Upatu kuwa ni Kampuni BORA basi Utaratibu uliotumika Kuwapa DP WORLD ya DUBAI ile BANDARI utumike pia Kuwapa TANESCO na BUNGE lilipite Azimio la KUKUBALI ili Tuondokane na hii SHIDA ya Umeme.Nina Hakika DP WORLD ya DUBAI itaifanya TANESCO ifanye kazi zake kwa Ufanisi.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app

First of all unatakiwa ujue dp world ana deal na nini zaidi. Mainly bandari
Suala la umeme linahitaji mwekezaji mwingine
 
Wadau BANDARI yetu ilisemekana haifanyi kazi kwa UFANISI na kusababisha Upotevu Mkubwa wa MAPATO.Ili kuifanya Bandari ifanye kazi kwa ufanisi na kukusanya Mapato zaidi ikakabidhiwa kwa Kampuni ya DP WORLD ya DUBAI licha ya Wenye Nchi yao kupinga lakini wenye Maamuzi likiwemo BUNGE halikujali nini Wanasema Wapiga kura wao.
Sasa kuna Shirika linaitwa TANESCO.Shirika hili halina tofauti na BANDARI kwani Ufanisi wake ktk Kutoa Huduma ya Umeme imekuwa ya KUUNGA UNGA na kusababisha mdororo wa Uchumi kwa Watumiaji wa huduma hiyo.Cha kushangaza BUNGE lipo KIMYA Kama vile halioni Kama lilivyoona kwenye suala la BANDARI.
Kwa kuwa Kampuni ya DP WORLD ya DUNIA ilipigiwa Upatu kuwa ni Kampuni BORA basi Utaratibu uliotumika Kuwapa DP WORLD ya DUBAI ile BANDARI utumike pia Kuwapa TANESCO na BUNGE lilipite Azimio la KUKUBALI ili Tuondokane na hii SHIDA ya Umeme.Nina Hakika DP WORLD ya DUBAI itaifanya TANESCO ifanye kazi zake kwa Ufanisi.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Bunge nalo linavyoendeshwa sivyo hivyo nalo apewe DPW ili lilete mabadiliko chanya nchini.
 
Wamekusikia Mkuu, ila watajifanya vichwa ngumu kukuelewa.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wadau BANDARI yetu ilisemekana haifanyi kazi kwa UFANISI na kusababisha Upotevu Mkubwa wa MAPATO.Ili kuifanya Bandari ifanye kazi kwa ufanisi na kukusanya Mapato zaidi ikakabidhiwa kwa Kampuni ya DP WORLD ya DUBAI licha ya Wenye Nchi yao kupinga lakini wenye Maamuzi likiwemo BUNGE halikujali nini Wanasema Wapiga kura wao.
Sasa kuna Shirika linaitwa TANESCO.Shirika hili halina tofauti na BANDARI kwani Ufanisi wake ktk Kutoa Huduma ya Umeme imekuwa ya KUUNGA UNGA na kusababisha mdororo wa Uchumi kwa Watumiaji wa huduma hiyo.Cha kushangaza BUNGE lipo KIMYA Kama vile halioni Kama lilivyoona kwenye suala la BANDARI.
Kwa kuwa Kampuni ya DP WORLD ya DUNIA ilipigiwa Upatu kuwa ni Kampuni BORA basi Utaratibu uliotumika Kuwapa DP WORLD ya DUBAI ile BANDARI utumike pia Kuwapa TANESCO na BUNGE lilipite Azimio la KUKUBALI ili Tuondokane na hii SHIDA ya Umeme.Nina Hakika DP WORLD ya DUBAI itaifanya TANESCO ifanye kazi zake kwa Ufanisi.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Tena DP wataunganisha umeme bureee; kazi kwetu kulipia LUKU!
 
Ni vyema na TAASISI kuu wakapewa wale wajomba, si umeona kulivyoendelea kule....huku hakuna ufanisi, miaka 60 bado tunapambana na vyoo bora!
 
Wadau BANDARI yetu ilisemekana haifanyi kazi kwa UFANISI na kusababisha Upotevu Mkubwa wa MAPATO.Ili kuifanya Bandari ifanye kazi kwa ufanisi na kukusanya Mapato zaidi ikakabidhiwa kwa Kampuni ya DP WORLD ya DUBAI licha ya Wenye Nchi yao kupinga lakini wenye Maamuzi likiwemo BUNGE halikujali nini Wanasema Wapiga kura wao.
Sasa kuna Shirika linaitwa TANESCO.Shirika hili halina tofauti na BANDARI kwani Ufanisi wake ktk Kutoa Huduma ya Umeme imekuwa ya KUUNGA UNGA na kusababisha mdororo wa Uchumi kwa Watumiaji wa huduma hiyo.Cha kushangaza BUNGE lipo KIMYA Kama vile halioni Kama lilivyoona kwenye suala la BANDARI.
Kwa kuwa Kampuni ya DP WORLD ya DUNIA ilipigiwa Upatu kuwa ni Kampuni BORA basi Utaratibu uliotumika Kuwapa DP WORLD ya DUBAI ile BANDARI utumike pia Kuwapa TANESCO na BUNGE lilipite Azimio la KUKUBALI ili Tuondokane na hii SHIDA ya Umeme.Nina Hakika DP WORLD ya DUBAI itaifanya TANESCO ifanye kazi zake kwa Ufanisi.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hata Bunge lipewe DP , Nyerere kapanda mchongoma huu CCM Sasa tunavuna matunda yake, nchi yote imeoza
 
Back
Top Bottom