RC Chalamila: Mnyonge anafurahia vitu vya ovyo ovyo

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,330
33,958
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.

Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku kadhaa zilizopita.

"Ukiona Mheshimiwa Rais anajenga soko zuri, hajengi Kwa sababu kuna mnyonge..." Alisema Chalamila.

Wanyonge mjipange kivingine ukweli ndiyo mshaambiwa hivyo.

Chanzo: Global Tv.
 
Hakuna kinyonge kitakachorithi ufalme wa Mungu
 
Sasa itakuaje kama wanyonge waliwahi kuwa na Raisi wao au alipoondoka aliondoka nao ?
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.

Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku kadhaa zilizopita.

"Ukiona Mheshimiwa Rais anajenga soko zuri, hajengi Kwa sababu kuna mnyonge..." Alisema Chalamila.

Wanyonge mjipange kivingine ukweli ndiyo mshaambiwa hivyo.

Chanzo: Global Tv.
Huyu mjomba wangu huwa simuelewi....kabisaa......sijui ana shida gani ? Nadhani huyu aende Lindi au Singida huko Dar sidhani kama ana ubunifu kwa jiji hili......hapanaa
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.

Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku kadhaa zilizopita.

"Ukiona Mheshimiwa Rais anajenga soko zuri, hajengi Kwa sababu kuna mnyonge..." Alisema Chalamila.

Wanyonge mjipange kivingine ukweli ndiyo mshaambiwa hivyo.

Chanzo: Global Tv.
Huyu ahamishiwe Katavi au Njombe, apeleke comedy zake uko!
Dar es salaam apewe Antony Mtaka!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Naambiwa Ganja ya Njombe si mchezo!! Nakumbuka marehemu Jackson Makwetta[ R.I.P.] akiwa Mbunge wa Njombe enzi hizo alisimama bungeni akishauri Ganja ihalalishwe!! Muda si mrefu Mwenyekiti wa wilaya yake wa chama tawala JACOB ULAYA [R.I.P] akakamatwa na CONTAINER ya bangi aliyokuwa anaisafirisha kwenda Ulaya!!
 
Kulikuwaga na Raisi wa Wanyonge katika zama zilizopita ha ha ha
 
Akaungane na brother k na akina mkojani wakafanye vichekesho kazi ameshindwa
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amesema kuwa mtu mnyonge hawezi kufurahia kitu kizuri, mnyonge anafurahia vitu vya hovyo hovyo.

Chalamila amesema maneno hayo alipokuwa akizungumza na wafanyakazi, wafanyabiashara, na viongozi mbali mbali kwenye Machinjio ya Vingunguti siku kadhaa zilizopita.

"Ukiona Mheshimiwa Rais anajenga soko zuri, hajengi Kwa sababu kuna mnyonge..." Alisema Chalamila.

Wanyonge mjipange kivingine ukweli ndiyo mshaambiwa hivyo.

Chanzo: Global Tv.
Ni kawaida yetu kuwa kama Kinyonga leo tutakuwa nao wanyonge kama upepo utakuwa unaelekea huko !
Kesho upepo ukibadilika nasi tunaelekea huko huko unakoelekea 😀!
Siku zinaenda na kazi iendelee ,
Mara paap mwisho wa mwezi huoo !!
Dont take life for granted !!
That’s why they called it Si-hasa !
Huwa tunachezaga na akili za watu !!😳😂🙏😜
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom