Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

KIFOROKOKWINYO

Senior Member
Sep 16, 2017
169
102
OMBI KWA KWA NAIBU WA WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI

MH waziri awali ya yote napenda kumshuru mwenyemungu kwa uhai na afya sisi waja wake.

Dhumuni kuu la barua hii ni kuomba kuangalia upya namna ya ugawaji wa tenda pale rea kwa wakandarasi wa umeme wa kutoka nnje ya nnchini ambapo kigezo kinachotizwama class 1 toka crb na mtaji. Na kuzisahu kazirau kampuni ndogo za ukandarasi nyenye class 7 ambazo ndizo nzenye mataamu mahiri kuwashinda hao Wakandaras wenye class 1 za mezani na si katika undaji wa kazi kinachoangaliwa rea ni 10,% wazopata kutoka kwa hao wenye class unaweza kampun 1 ya nnje umepewa mikoa zaidi 5 na zinakuja kutupa kazi sisi wakandasi wenye class 7 tunafanya kazi kwa ujira mdogo na kazi tunafanya kwa asilimia 96 wanakusanya pesa wanapeleka kwenye nnchi zao huko sisi wakituacha tunapulia ges.

Kampun hazikui na ndizo zinafanywa hiyo miradi kwa maslahi madogo hivi kwanini msitupe hizo kazi hata kwajieleza namna tukavyoendesha mradi na kwa mda gani mradi husika.

MH WAZIR naomba utuangalie kwa jicho la pili hapo rea hapo sawa hasa kwenda watukandamiza tunafanya kazi kubwa lakin hatupati kitu hata ukienda toa malalamiko rea huwezi sikilizwa kàbisa

Tunaomba marekebisho kwenye nasi tuweze faidi keki ya taifa .

Tutashuru endapo maombi yatu yafanziwa kazi
 
Kiongozi wa Sasa ni bomu Tena la kienyeji. Hafai kabisa. Aondoke atuachie nchi yetu. Mungu atamchoma moto aking'ang'ania
 
Back
Top Bottom