Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,043
Wananchi wenzangu nawasalimu.
Nimekuwa naisoma KATIBA iliyopo karibu kila siku na kuwasikiliza Wanasheria mbalimbali wakiichambua na kubaini Mapungufu mengi ambayo YANATUTESA SANA wananchi.
Najiuliza ni NANI aliitunga hii KATIBA inayotupa WANANCHI MAUMIVU kiasi hiki na KUWANUFAISHA WATAWALA kiasi cha kutotaka kabisa KUIBADILISHA Kama Wananchi Wanavyotaka?
Kwanini WATAWALA hawataki MABADILIKO ya KATIBA wanaogopa NINI?
Ni vema Tukamjua/wajua walioitunga KATIBA Hii ili hata Mbinguni tukifika TUWATAJE kwa Mwenyezi MUNGU.