Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,662
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
 
Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Mbowe ni muumini wa KKKT tangu kuzaliwa ana haki ya kumwalika mtu yeyote kuja kanisani kwake kushirikiana na waumini wengine kwenye jambo lolote.
Au huko msikiti kwenu wanakataza kualikana hadi Imamu au sheikh wa msikiti??
 
Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Ila Mbowe kutangaza pesa alizochangia Samia kanisani umeelewa?

BTW: Harambee za makanisa waumini hualika marafiki/jamaa hata wasio waumini wa kanisa hilo kushiriki.
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane?

Frankly speaking!!!

Hawa wakina Mdee na shogaake bulaya ....kuchangia jumla ya tsh milioni 12 ujenzi wa kanisa analosali Mbowe"!....

Huku ni kujikomba kulikopitiliza! Na hii imekuja wakati muafaka (KIMKAKATI ZAIDI)...

Na hawa wanatafuta sympathy(huruma) ya Mbowe+wanachadema kuelekea uchaguzi mkuu!...

Na Hakuna kingine!!

Sisi sio watoto!... Wamesoma Alama za nyakati! Kuendana mdundo wa 2024-2025!

They know how&when to play it right!
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wq habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.

Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
 
Frankly speaking!!!

Hawa wakina Mdee na shogaake bulaya ....kuchangia jumla ya tsh milioni 12 ujenzi wa kanisa analosali Mbowe"!....

Huku ni kujikomba kulikopitiliza! Na hii imekuja wakati muafaka (KIMKAKATI ZAIDI)...

Na hawa wanatafuta sympathy(huruma) ya Mbowe+wanachadema kuelekea uchaguzi mkuu!...

Na Hakuna kingine!!

Sisi sio watoto!... Wamesoma Alama za nyakati! Kuendana mdundo wa 2024-2025!

They know how&when to play it right!
Hamjasema,.mpaka mseme
 
Back
Top Bottom