Kwanini CCM na Mikoa Masikini ni Maswahiba sana?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,801
71,226
Je, tumepata kujiuliza kwa kina sababu hasa ya uswahiba mkubwa uliopo kati ya CCM na Mikoa au maeneo masikini sana katika nchi hii?

Katika mikoa kama Lindi, Pwani, Dodoma, Tabora, Tanga, Ruvuma nk ambako kukuta watu wanajisaidia vichakani au barabara zao kwenda vijijini ni adhabu watu wame relax na chama tawala huku wakiwaunga mkono viongozi hadi wanapata kichaa kabisa wakiwaona kwa furaha na CCM wakichekelea na kuwaaambia watatawala daima.

Sababu ni nini? Wamelogwa au IQ ya Raia wa maeneo hayo ni ya chini kiasi hawawezi kutofautisha wao na wengine wanaishije?

e6f78d8c3e67400197c3695eb6fb9451_416769779_786919500146138_2828541375780616065_n.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Je, tumepata kujiuliza kwa kina sababu hasa ya uswahiba mkubwa uliopo kati ya CCM na Mikoa au maeneo masikini sana katika nchi hii?

Katika mikoa kama Lindi, Pwani, Dodoma, Tabora, Tanga, Ruvuma nk ambako kukuta watu wanajisaidia vichakani au barabara zao kwenda vijijini ni adhabu watu wame relax na chama tawala huku wakiwaunga mkono viongozi hadi wanapata kichaa kabisa wakiwaona kwa furaha na CCM wakichekelea na kuwaaambia watatawala daima.

Sababu ni nini? Wamelogwa au IQ ya Raia wa maeneo hayo ni ya chini kiasi hawawezi kutofautisha wao na wengine wanaishije?

View attachment 2860588

Kumbe hawaibi Kama mnavyodai
 
Kenge wa chadema aisee wana shida kubwa
 
Mkuu tutajie mikoa maskini na mikoa tajiri ili twende pamoja
 
Kwa nchi zilizoendelea, Uwekezaji mkuu na mtaji mkuu wa Serikali za nchi zao ni Elimu na watu wenye Elimu (akili) kubwa, lakini kwa nchi ambazo hazijaendelea na maskini, Mtaji mkuu wa Serikali za nchi zao ni Ujinga na watu wajinga. This is the Law if Nature.
 
Mikoa tajiri ni ipi na upinzani unaongoza halmashauri ngapi huko?

Au uungwaji mkono wa chama cha siasa kwenye mkoa unaupimaje?
 
Back
Top Bottom