Kuelekea 2025 Asiyekubalika kwao anawezaje kushawishi Wananchi Wamchague Samia?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
123,780
234,738
Screenshot_2024-01-02-14-31-02-1.png

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa ametangaza hadharani huko kwao Ruangwa kwamba kwenye Jimbo hilo Rais Samia atashinda Uchaguzi kwa 100% , hapa anazungumzia uchaguzi wa 2025 , hata hivyo hakuna kikao chochote ambacho ccm ilikaa kuteua Mgombea Urais wala hakuna mahali popote ambapo Tume ya Uchaguzi imetangaza kupitisha majina ya Wagombea Urais .

Bali kinachofahamika ni kwamba Kasimu Majaliwa hakubaliki kwao na wala hana ushawishi wowote wa kuwezesha Samia kuchaguliwa kwa asilimia hizo na Wana Ruangwa.

Labda kwa Wasahaulifu na kwa wageni wa jf ni kwamba , Kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020 , Kasimu Majaliwa ni miongoni mwa Wabunge wa ccm waliopita bila kupingwa , baada ya kugundua kwamba hakubaliki kwao aliamua kuhujumu kila mgombea kutoka vyama vingine , wengine waliporwa fomu huku wengine wakiokotwa kwenye mapori ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wakiwa na majeraha makubwa , Hivi mtu ambaye hawezi kuwa mbunge bila Wagombea wengine kutekwa anawezaje kushawishi wananchi wamchague Samia , Kwanini anamdanganya Rais , Amelenga jambo gani ?
 
View attachment 2860069

Waziri Mkuu wa Tanzania , Mh Kasimu Majaliwa ametangaza hadharani huko kwao Ruangwa kwamba , kwenye Jimbo hilo Rais Samia atashinda Uchaguzi kwa 100% , hapa anazungumzia uchaguzi wa 2025 , hata hivyo hakuna kikao chochote ambacho ccm ilikaa kuteua Mgombea Urais wala hakuna mahali popote ambapo Tume ya Uchaguzi imetangaza kupitisha majina ya Wagombea Urais .

Bali kinachofahamika ni kwamba Kasimu Majaliwa hakubaliki kwao na wala hana ushawishi wowote wa kuwezesha Samia kuchaguliwa kwa asilimia hizo na Wana Ruangwa .

Labda kwa Wasahaulifu na kwa wageni wa jf ni kwamba , Kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020 , Kasimu Majaliwa ni miongoni mwa Wabunge wa ccm waliopita bila kupingwa , baada ya kugundua kwamba hakubaliki kwao aliamua kuhujumu kila mgombea kutoka vyama vingine , wengine waliporwa fomu huku wengine wakiokotwa kwenye mapori ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wakiwa na majeraha makubwa , Hivi mtu ambaye hawezi kuwa mbunge bila Wagombea wengine kutekwa anawezaje kushawishi wananchi wamchague Samia , Kwanini anamdanganya Rais , Amelenga jambo gani ?
Hao walichanganyikiwa tu baada ya kuona mziki wa PM, huyo mmoja alisahau njia ya kwenda ofisi ya kurejesha fomu, akaenda anakojua
 
View attachment 2860069

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa ametangaza hadharani huko kwao Ruangwa kwamba kwenye Jimbo hilo Rais Samia atashinda Uchaguzi kwa 100% , hapa anazungumzia uchaguzi wa 2025 , hata hivyo hakuna kikao chochote ambacho ccm ilikaa kuteua Mgombea Urais wala hakuna mahali popote ambapo Tume ya Uchaguzi imetangaza kupitisha majina ya Wagombea Urais .

Bali kinachofahamika ni kwamba Kasimu Majaliwa hakubaliki kwao na wala hana ushawishi wowote wa kuwezesha Samia kuchaguliwa kwa asilimia hizo na Wana Ruangwa.

Labda kwa Wasahaulifu na kwa wageni wa jf ni kwamba , Kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020 , Kasimu Majaliwa ni miongoni mwa Wabunge wa ccm waliopita bila kupingwa , baada ya kugundua kwamba hakubaliki kwao aliamua kuhujumu kila mgombea kutoka vyama vingine , wengine waliporwa fomu huku wengine wakiokotwa kwenye mapori ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wakiwa na majeraha makubwa , Hivi mtu ambaye hawezi kuwa mbunge bila Wagombea wengine kutekwa anawezaje kushawishi wananchi wamchague Samia , Kwanini anamdanganya Rais , Amelenga jambo gani ?
Uchaguzi wa mitaa mwaka huu utawaumbua Hadi mkome
 
Huyu mdiye huko kwao wananchi wamuita Yahaya?
 
Huyu mtu sijawahinkuanini ksuli zake na watanzania wengi tunamfahsnu vizuri wakiwemo wa Ruangwa.
 
Back
Top Bottom