Wanasiasa waige Mfano wa Makonda kwenye kutimiza ahadi zao

Juuchini

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
1,300
1,659
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na Mwanamuziki wa (HipHop) Nchini Bw. Joseph Haule Maarufu Professor Jay.

Mwenezi Makonda ametimiza ahadi hiyo leo tarehe 21 Disemba, 2023 alipofika nyumbani kwa Professor Jay Mbezi Jijini Dar es salaam.

Pia, Mwenezi Makonda amemkabidihi Professor Jay kiasi kingine cha fedha Tsh Milioni 10 ikiwa ni mchango kutoka kwa Ndugu wa Mwenezi Makonda na kupelekea kuwa amekabidhi jumla ya Tsh Milioni 20.

Source: X
 
ni vizuri.
 
Back
Top Bottom