Kama Chato, Udsm Kujengwa Ruangwa Badala ya Lindi Mjini Makao Makuu ya Mkoa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
PM Majaliwa amewaambia Wananchi wa Wilaya ya Nyumbani kwake kwamba Tawi la Chuo Kikuu Cha UDSM Mkoa wa Lindi litajengwa Wilayani Ruangwa.

-Tabia hizi zilishamiri sana awamu ya 5 Kwa Wilaya ya Chato kupendelewa miradi ya Maendeleo,naona zimeanza kurudi.

My Take
Tuache tabia za upendeleo wa kimaeneo na kikanda.Sio Afya Kwa mustakabali wa Tanzania.

========

CHUO KIKUU UDSM KUJENGWA WILAYA YA RUANGWA - Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Mhe. kassim MAJALIWA na Mbunge wa Jimbo la RUANGWA amesem tayari maandalizi ya UJENZI wa chuo kikuu Cha Dar es salaam Tawi la RUANGWA yameanza na kwamba kukamilika Kwa chuo hicho kitasaidia sana kukuza uchumi wa Jimbo hilo la kusini Mwa Tanzania.

Mhe. MAJALIWA amesema hayo wakati akitoa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM katika Jimbo la RUANGWA katika MKUTANO Mkuu wa CCM Jimbo la RUANGWA
 
PM Majaliwa amewaambia Wananchi wa Wilaya ya Nyumbani kwake kwamba Tawi la Chuo Kikuu Cha UDSM Mkoa wa Lindi litajengwa Wilayani Ruangwa.

-Tabia hizi zilishamiri sana awamu ya 5 Kwa Wilaya ya Chato kupendelewa miradi ya Maendeleo,naona zimeanza kurudi.

View: https://www.instagram.com/p/C1mNkAvookB/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tuache tabia za upendeleo wa kimaeneo na kikanda.Sio Afya Kwa mustakabali wa Tanzania.

Hupendi majaliwa nae akumbukwe kizimkazi tayari kumeanzishwa tamasha kama la msoga!
 
Tawi la Ardhi University linajengwa Mwanza wilaya ya Sengerema na sio kwenye wilaya zinazowakilisha jiji yani Ilemela na Nyamagana
Hapo tumlaumu nani mtoa mada?
 
PM Majaliwa amewaambia Wananchi wa Wilaya ya Nyumbani kwake kwamba Tawi la Chuo Kikuu Cha UDSM Mkoa wa Lindi litajengwa Wilayani Ruangwa.

-Tabia hizi zilishamiri sana awamu ya 5 Kwa Wilaya ya Chato kupendelewa miradi ya Maendeleo,naona zimeanza kurudi.

View: https://www.instagram.com/p/C1mNkAvookB/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tuache tabia za upendeleo wa kimaeneo na kikanda.Sio Afya Kwa mustakabali wa Tanzania.

Achana na awamu ya Tano hangaika na mama lako bomu la kienyeji. Zee Zima lijinga kabisa wewe
 
Tawi la Ardhi University linajengwa Mwanza wilaya ya Sengerema na sio kwenye wilaya zinazowakilisha jiji yani Ilemela na Nyamagana
Hapo tumlaumu nani mtoa mada?
Ilemela na nyamagana Kuna ardhi ya kutosha kujenga chuo Cha Ardhi ni Cha Ardhi lazima kiwe eneo la ardhi kubwa hicho sio chuo Cha secretarial college kiasi kuwa kijengwe mjini
 
Basi na kwa Ruangwa sababu ni hiyohiyo
Ruangwa kuna ardhi kubwa chuo kitahitaji kuongezwa badae
 
I guess idadi kubwa ya watakaosoma kwenye hicho chuo ni watu wa kutoka mikoa mingine kutokana na wengi WA watu wa huko kuwa duni kielimu
 
PM Majaliwa amewaambia Wananchi wa Wilaya ya Nyumbani kwake kwamba Tawi la Chuo Kikuu Cha UDSM Mkoa wa Lindi litajengwa Wilayani Ruangwa.

-Tabia hizi zilishamiri sana awamu ya 5 Kwa Wilaya ya Chato kupendelewa miradi ya Maendeleo,naona zimeanza kurudi.

View: https://www.instagram.com/p/C1mNkAvookB/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tuache tabia za upendeleo wa kimaeneo na kikanda.Sio Afya Kwa mustakabali wa Tanzania.

Hao si ndio wanafunzi wa Magufuli bwana. Hawana hata haya, we mwache kitadoda km uwanja wa ndege wa Chato. Serikali yote ilitakiwa kuvunjwa. Kimsingi hii katiba inahitaji mabadiliko makubwa, baada ya rais aliyeko madarakani kufariki ilitakiwa baada ya miezi hata 6 uitishwe uchaguzi wa rais
 
PM Majaliwa amewaambia Wananchi wa Wilaya ya Nyumbani kwake kwamba Tawi la Chuo Kikuu Cha UDSM Mkoa wa Lindi litajengwa Wilayani Ruangwa.

-Tabia hizi zilishamiri sana awamu ya 5 Kwa Wilaya ya Chato kupendelewa miradi ya Maendeleo,naona zimeanza kurudi.

View: https://www.instagram.com/p/C1mNkAvookB/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tuache tabia za upendeleo wa kimaeneo na kikanda.Sio Afya Kwa mustakabali wa Tanzania.

Wewe sio chawa per sè, kuna wakati fahamu zinakurudi.
Uko sahihi, UDSM Ilifaa ijengwe Makao makuu Mkoa
 
Back
Top Bottom