Dr. Slaa: Fungu la 23 la Ikulu halikaguliwi na CAG, tusipopiga kelele sasa milioni 150 keshokutwa itafikia bilioni 3

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Kwenye mazungumzo yaliyofanyika club house Dr. Slaa amesema kwa utaratibu anaoufahamu Rais hana mafungu makubwa kiasi hicho (milioni 150) kwaajili ya eneo moja, na fedha hizi zinawekwa katika kifungu cha Ofisi ya Rais na balaa ni kwamba fedha hizi hazikaguliki kwasababu fungu la 23 la Ikulu halikaguliwi na CAG!

Kwa maana hiyo chochote kitakachofanyika inabaki kuwa siri ya Ikulu, siri ya Rais. Jambo hili kama ni kweli Rais ametoa mfuko binafsi hatuwezi kuziingilia lakini kama ametoa kwenye mfuko wa 23 (kama sijakosea) ni lazima watanzania tulipigie kelele, hili si sahihi huu ni wizi, huu ni ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kazi mambazo hazijaidhinishwa na bunge wala hazijawahi kuidhinishwa na bunge miaka yote tangu uhuru wetu mpaka leo, marais wamepita wengi hatujawahi kuona kitu cha namna hii.

Ni jambo la kusikitisha, tuendelee kulipigia kelele kwasababu tusipopiga kelele hii imeshapanda kuwa milioni 150, kesho itafika bilioni moja, kesho kutwa itafika bilioni 3!
 
Hapa Slaa simuungi mkono kwa unafiki huo.

Michezo ya kugawa pesa na kutengeneza matukio kujiongezea umaarufu aliyaanzisha Magufuli ambaye Slaa alimuunga mkono na alikua kimya.

Samia alikua deputy wa Magufuli anapita alipopita boss wake japokuwa ni kosa ila pengine ameona ndio umaarufu wenyewe na Samia akaongezea mtindo wa kununua magoli ya Simba na Yanga.

Kwenye hili Slaa hana moral probity kulizungumza atamuonea Samia tu wakati kwa Magufuli aliufyata.
 
Kabla ya kwenda huko Ikulu,Slaa anatakiwa kujua kwamba CAG anakagua 40% tuu ya matumizi au taasisi za Serikali.

Bado safari ndefu ,tena Bora na Samia kawaongezea hizo 10% walikuwa wanakagua only 30%
 
Slaa ni mnafiki mkubwa na hana aibu kabisa.Hayati Magufuli alikuwa anagawa mamilioni tena kwa watu binafsi hatukusikia anataja vifungu vya Ikulu au kwa vile yule alikuwa RC mwenzake?
Udini unamtafuna, ndiyo maana ilikuwa tatizo kwake kumpigania Lowassa.
Alikuwa tayari kusaliti Ukawa ili kumfanyia kampeni mkatoliki mwenzake.(Magufuli).
Magufuli alinyamazisha harakati za kisiasa, serikali yake ilimpoteza Saanane, ilimshambulia Tundu Lisu, lakini yote hayo aliyanyamazia.
Ati leo naye anajiona mzalendo!!
Mnafiki mkubwa
 
Hii nchi ina watu wanafiki sana. Kama Mhe Rais kama angechangia kanisa katoliki usingesikia kelele hizi za kina Dkt Slaa
 
Hapa Slaa simuungi mkono kwa unafiki huo.

Michezo ya kugawa pesa na kutengeneza matukio kujiongezea umaarufu aliyaanzisha Magufuli ambaye Slaa alimuunga mkono na alikua kimya.

Samia alikua deputy wa Magufuli anapita alipopita boss wake japokuwa ni kosa ila pengine ameona ndio umaarufu wenyewe na Samia akaongezea mtindo wa kununua magoli ya Simba na Yanga.

Kwenye hili Slaa hana moral probity kulizungumza atamuonea Samia tu wakati kwa Magufuli aliufyata.
Enzi ya Magu ishapita tunaangalia Taifa na eatu wake kwanza hasa wallpaper kodi na wanyonge aliokokuwa anajifichq huyo Magu na Mama akiwa makamu wake si alikuwa anaona anavyogawa pesa kila safari.
Hivi yule jamaa aliyekuwa anabeba like begi la pesa anajisikiaje Sasa na kama.hakuwa anachota hapo kiasi chake.
Hizo ndio pesa anazotoa mama. Yeye Magu alikuwa anawapa wanyonge na kuendeleza zenye hitaji.
 
Bora kutoa sadaka kwenye nyumba ya ibada ila sio ile ya kununua magoli.

Kila goli milioni tano yale yalikua matumizi mabaya ya pesa.
 
Kwenye mazungumzo yaliyofanyika club house Dr. Slaa amesema kwa utaratibu anaoufahamu Rais hana mafungu makubwa kiasi hicho (milioni 150) kwaajili ya eneo moja, na fedha hizi zinawekwa katika kifungu cha Ofisi ya Rais na balaa ni kwamba fedha hizi hazikaguliki kwasababu fungu la 23 la Ikulu halikaguliwi na CAG!

Kwa maana hiyo chochote kitakachofanyika inabaki kuwa siri ya Ikulu, siri ya Rais. Jambo hili kama ni kweli Rais ametoa mfuko binafsi hatuwezi kuziingilia lakini kama ametoa kwenye mfuko wa 23 (kama sijakosea) ni lazima watanzania tulipigie kelele, hili si sahihi huu ni wizi, huu ni ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kazi mambazo hazijaidhinishwa na bunge wala hazijawahi kuidhinishwa na bunge miaka yote tangu uhuru wetu mpaka leo, marais wamepita wengi hatujawahi kuona kitu cha namna hii.

Ni jambo la kusikitisha, tuendelee kulipigia kelele kwasababu tusipopiga kelele hii imeshapanda kuwa milioni 150, kesho itafika bilioni moja, kesho kutwa itafika bilioni 3!
Kibabu silaa kinazeeka vibaya tukihurumie maana sasa kinapinga hadi ujenzi wa kanisa? Hakitaki watu watoe sadaka? Kisaliti sana hiki kizee ndomana kilihasi upadiri kikaiba hadi mke wamtu, kishamba sana. Mbona kenyewe kilimnunulia demu nyumba ya mamilioni na kikaachwa?
IKOWAZI pesa ni ya Samia na familia Sasa kinahoji Nini? Kinyang'anywe udokta hiki kimezidi usaliti kimesaliti dini,siasa,familia,mkewamtu,ccm,chadema,ccm Tena,ubalozi,ukawa nk.
 
Enzi ya Magu ishapita tunaangalia Taifa na eatu wake kwanza hasa wallpaper kodi na wanyonge aliokokuwa anajifichq huyo Magu na Mama akiwa makamu wake si alikuwa anaona anavyogawa pesa kila safari.
Hivi yule jamaa aliyekuwa anabeba like begi la pesa anajisikiaje Sasa na kama.hakuwa anachota hapo kiasi chake.
Hizo ndio pesa anazotoa mama. Yeye Magu alikuwa anawapa wanyonge na kuendeleza zenye hitaji.
Mnyonge ni nani?

Kwenye katiba ya JMT hakuna mahali pameandikwa Tanzania kuna wanyonge.

That was a cheap PR to gain political mileage.
 
Back
Top Bottom