Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amesema mwanafunzi akichelewa kuripoti shule atalimishwa matuta kumi, kauli hii ni amri kwa wakuu wakuu wa shule lakini tujiulize ni amri halali?
Kwanini mwanafunzi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa...
Rais Magufuli amewashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuitikia wito wa kumuomba Mungu ili aliepushe Taifa na corona, ametoa shukrani hizo leo alipokaribishwa kuwasalimu Waumini wa...
Mbunge wa Arusha mh Mrisho Gambo amesema Wapinzani ni watu wa kushindwa tu tangu 1995, Wananchi wamewakataa
Gambo amesema kwa sasa Wapinzani wameomba sheria za Uchaguzi zirekebishwe tumewapa...
Kwanza nampingeza sana Mrisho Gambo Kwa kazi nzuri ya kuleta maendeleo Jimbo la Arusha.
Pili naunga mkono hoja yake kwamba Wana Arusha sio wapumbavu kiasi Cha kumchagua Lema badala ya Gambo ambae...
Wanabodi
Nimeona taarifa ya Mkutano huu humu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024
MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kukamilika kiwanda cha kusarifu Mwani Chamanangwe kitakuwa na uwezo wa kununua tani 30,000 za Mwani kwa...
Rais wetu shughulikia Uhai wa Raia. Trh. 27.12.23, Polisi wamewauwa Bakari Ismail na Shomari Kacheuka. Trh. 28.12.23 kikosi cha Utekaji kimewateka Juma Idd na Haruna Idd. Matukio haya na hukumu za...
Salaam, Shalom!!
Ndugu Mnyika anafanya vizuri, lakini Bado hajafikia viwango vya Dr Slaa, Mnyika anaweza kupewa nafasi nyeti kuelekea uchaguzi huku Dr Slaa akifanikisha njia nyeupe Kwa chama...
Watanzania wenzangu Mh. Freeman Mbowe ni hazina kwa taifa letu. Kiongozi huyu wa upinzani Tanzania na mwenyekiti wa CHADEMA ameonesha ujasiri na umahiri mkubwa sana katika kujenga Tanzania yenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Mambo yanaendelea kuwa mazuri chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia,nuru ya...
MAPITO HAYA NI MAGUMU, TUWAOMBEE Pamoja na kwamba siwapendi Chadema lakini haya waliyokutana nayo katika ziara yao mpaka wakaamu kuikatiza njian kwa madai ya kuishiwa mafuta ni mambo magumu mno...
Ikumbukwe kuwa huu ni Mwaka wa Uchaguzi wa Viongozi wa CHADEMA kuanzia Primary hadi Taifani.
Tusiache kuwaombea kwa Mungu wa Mbinguni awape wepesi.
Mungu Ibariki CHADEMA.
In 2013 two British volunteer teachers, Katie Gee and Kirstie Trup – both at the time teenagers – suffered a horrific attack while in Zanzibar, part of Tanzania in East Africa, when...
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi...
Watu wanasema zitatokea vurugu katika Chaguzi za 2024 na 2025 ndani ya CCM. Watu wanasema Rais Samia akipata nomination 2025, hawezi kupata 2030.
Wengine wanabisha kwamba Rais Samia atapata...
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na...
Wanabodi,
Preamble: Kama nilivyoshauri katika nyuzi zangu mbili ya kuuaga mwaka 2016, na salaam zangu za mwaka mpya, kuwa JF we have a duty ya kuwa wazalendo wa kweli wa nchi hii kwa kulisaidia...
Hapa Rais Samia Suluhu awaambia Wananchi watalipa elfu 27 kuunganishiwa umeme.
Hapa Rais Samia Suluhu hassan abadilisha kauli yake kuhusu kuunganisha Umeme. Mimi huwa siwaamini Wana siasa...
Chatanda Ataka 20% ya Wagombea Nchini Wawe Wanawake
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda, amesema kutokana na hali ilivyo wanataka asilimia 20 ya wagombea wa majimbo...